Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,638
- Thread starter
- #21
Akatubu lakini
Watanzania hamna tukiwezacho Ila ushirikina Na uchawi. Taifa hili linejengwa kwenye misingi ya matambiko, mazindiko, makafara Na ibada za sanamu ikiwemo ibada za mwenge. Vyote hivi ni machukizo mbele ya Mungu aliye hai.
Tusipotubu, hatutatoboa kamwe
