Inspite of those minor flaws, the core of the subject remains crystal clear. The story was intended to expose lavish spending done by the mindless government on covering for seemingly needless costs while thousands of patients' lives are at stake owing to ongoing medics strike. Spending Tshs 3M taxpayers money on payment for unnecessary 'tour' to Switzerland must be condemned and faultfounded by any conscious citizen.
Hawa ndio waandishi wanao tuletea habari? Hiyo ndio ndege ya wapi tena? IKO NJE KWENYE MATENGENEZO, SERIKALI YAKWAMA KUILIPIAUKATA unaoikabili serikali, umesababisha kukwama kuilipia ndege maalumu ya Rais, inayofanyiwa matengenezo nje ya nchi, Tanzania Daima Jumatano limebaini. Kutokuwepo kwa ndege hiyo, kumesababisha Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wa zaidi ya watu 14, ulioondoka nchini jana kwenda Davous, nchini Sweden, kuhudhuria mkutano wa dunia wa mambo ya uchumi, kuondoka na ndege ya Shirika la Ndege la Qatal. Habari ambazo gazeti hili imezipata, zilisema kuwa ndege ya Rais mahususi kwa ajili ya safari za aina hiyo imezuliwa nje ya nchi baada ya serikali kukwama kulipia gharama za matengenezo yake.
na Mwandishi wetu
hakuna shirika la ndege hapa duniani linaloitwa QATAL,wala hakuna waziri anayeitwa NDUNDU.
Halafu hii habari ni ya kiumbea kwa sababu hili gazeti halijui hiyo ndege iko nchi gani zaidi ya kuzusha nje ya nchi.gazeti makini haliwezi kuandika udaku kama lilivofanya hili.wajinga ndio waliwao.
Kuna Thready moja ya Pasco wa JF tulikua tunaijadili kuhusiana na waandishi wa habari na bahasha! Mimi nilichangia kwakumuuliza Pasco kua nimesikia kuna neno linasemwa sana kua kuna waandisha Ucharwa! sasa jibu nimeshapata kuhusiana na huu uzi wa Mungi.
kama ulikuwepo mkuu,hawa jamaa wababaishaji kweli,hata shirika la ndege eti wanaandika QATAL,Waziri NDUNDU mara nje ya nchi,afazali nawe umeliona hilo...Ndo matatizo ya copy and paste kaka.
Hebu wataalamu wa mahesabu tusaidieni. Matumizi ya millioni 300 kwa siku nne kwa watu 14 kila mmoja hapo anatumia kiasi gani kwa siku moja?
Tsh 300,000,000/4 days na hakuna faida yoyote?? Nashindwa kuelewa nimchukulie hatuagani huyu rais wa tz
Hebu wataalamu wa mahesabu tusaidieni. Matumizi ya millioni 300 kwa siku nne kwa watu 14 kila mmoja hapo anatumia kiasi gani kwa siku moja?
Ni habari nzuri, lakini nilitarajia kuona taarifa za ziada kuhusiana na hilo kwenye highlight, ambalo ndilo moyo wa habari hii... lakini sijaliona! IKO NJE KWENYE MATENGENEZO, SERIKALI YAKWAMA KUILIPIAUKATA unaoikabili serikali, umesababisha kukwama kuilipia ndege maalumu ya Rais, inayofanyiwa matengenezo nje ya nchi, Tanzania Daima Jumatano limebaini. Kutokuwepo kwa ndege hiyo, kumesababisha Rais Jakaya Kikwete na ujumbe wake wa zaidi ya watu 14, ulioondoka nchini jana kwenda Davous, nchini Sweden, kuhudhuria mkutano wa dunia wa mambo ya uchumi, kuondoka na ndege ya Shirika la Ndege la Qatal. Habari ambazo gazeti hili imezipata, zilisema kuwa ndege ya Rais mahususi kwa ajili ya safari za aina hiyo imezuliwa nje ya nchi baada ya serikali kukwama kulipia gharama za matengenezo yake.
na Mwandishi wetu