TCleverly
JF-Expert Member
- Feb 26, 2013
- 1,921
- 873
mkuu sifongo afadhali maalim seif angebeba mikungu ya ndizi,mihogo na urojo kwenye hiyo ndege lakini sio mkaa. ni swa na kubeba petrol kaka. mkaa kwenye ndege. aaaah hapana. lakini sishangai jamaa labda wana mpango wa kununua ndege nyingine huwezi jua. kwamba ile namba 5h-ccm iwe kazi yake ni kubeba mikaa na mhogo ya watawala.
kwanini??kuna technical issues kuhusu kubeba mkaa kwenye ndege???