LEARNED BROTHER
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 599
- 867
Kapuya aliwahi kwenda kwao na ndege ya jeshi. Alipoulizwa, akawaambia mnataka nipande punda?? Ndo haya ya maalim sasa
Mume mwenzako unamwona mzuri anapokuwa na mkewe. Subiri waachane halafu wewe uingie ndani ya nyumba ndo utaujua uzuri au ubaya wake. Nampa tahadhari huyu dogo.
Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
Wakisafirishwa twiga uvccm kimyaaa...
Haa chazea wake wawili wewe? Jamaa alifungasha mpaka mikungu ya ndizi kwenye ndege sasa kwa nini isichemshe ku gain momentum?
Umenena Mkuu!. MaCCM ni Majanga. Zenji Shwari mkuu?Wakisafirishwa twiga uvccm kimyaaa...
Hakunaa!.. UVCCM wanafiki... Ni lazima waambiwe ukweli... twiga uvccm kimyaaa...Kosa kutokea halihalalishi kosa jingine
Mali za umma zinatumiwa kama vitu binafsi
Hadi mkaa?
Too much
binafsi sijaona shida katika hilo maana naamini hiyo ndege ina sehemu ya kuweka mizigo ya aina hiyo,mbona tunatoka mwanza tunabeba samaki kwenye ndege vp Maalim akibeba zawadi kwa familia yake au ndio siasa tena?