Kwa kuongezea kuna rubani alikuwa akiirusha aliwahi niambia kuwa inaitwa "Chali Chali Mike"
lol sasa CCM ukitumia ICAO spelling si itaitwa Charlie Charlie Mike?Hapana.
Hilo siyo jina la hiyo ndege.
Katika Aviation industry herufi za A-Z zinatamkwa kwa namna ya pekee, ambapo ni kama ulivyosema hapo juu..
eg JF itaitwa 'JULIET FOX'
Mkuu umechanganya mambo ndege ya 5h-CCM ni ile Faulker F-28 iliyonunuliwa mwaka 1978 (picha chini), miaka yote inaitwa CCM.
![]()
Ndege ambayo ilinunuliwa wakati wa Mkapa registration yake ni 5H - ONE (picha chini)
![]()
Ndugu kwa jinsi hilo shirika la TGFA lilivyo wanaruhusiwa kuzikodisha hizo ndege zote hat hiyo Gulfstream (5H-ONE) kwahiyo usishangae kuwa inapiga misele mingi ukizingatia ni one of the most advanced hi tech corporate jet availableHii G5 inakwenda sana Switzerland kulikoni? Mara ya mwisho kuwa uko ilikuwa Jan 29th... WEF?
Jan 21 ilikuwa England (Luton).