Air Tanzania kivipi tena? Kwani ipo?[/QUOhTE]huyo anabifu na ccm ndomana anahic kila ndege ni ya ccm
Najaribu kuvuta picha nani angehusishwa
Chezea BLESSINGS za TB JJOSHUA weweeeeeeeee
Mkuu umeambiwa PW sasa ATCL Hapa imekujaje?Hizi ndege na Air Tanzania huwa naziogopa sana.
Najaribu kuvuta picha nani angehusishwa
Ashakum si matusi kuna watu jamani ni typical waste of #@&%*+*/& from a man!!!!!!
Unajiuliza ni njaa au nini kinamsukuma kuandika
Hahahahhh. Kweli kbs. By the way precision ATRs ni one of the safest planes in Africa
mkuu hamna kitu kisichopata ajali duniani, na hiyo haikufanyi uwe na imani sawa kwa vyombo vyote eti kisa kila chombo kinapata ajali. Kwangu ni tofauti labda wewe. Hata basi kuna baadhi ya basi hata bure sipandi
Tasama sasa, mungu iko na laigwenan....Talinda yeye popote nakwenda na saa yote.Waziri Mkuu aliyejiuzulu E. Lowassa amenusurika kifo baada ya ndege ya Precision kupasuka matairi yote 4 wakati ikitua Arusha mchana huu.hakuna mtu aliye jeruhiwa katika kizaza hicho,safari za angani majini na nchi kavu ni zakuwa makini haswa kwa kipindi hiki cha mwisho wa mwaka.
....... malipo ni hapa hapa duniani......
.........ATC ilihujumiwa hivi hivi....sasa mkuki kwa nguruwe......
ndo mana nakukubali unaona kama popo usiku.isije kuwa gamba lilikuwa lunawindwa na magamba wenzie.election is on the way mkuu.
Nikiwa mmoja wa abiria tuliosafiri na PW kurudi Arusha leo, ndege ya shirika hilo yenye usajili No 5HPWI imepata kizaazaa wakati wa kutua baada ya tairi mojawapo kupasuka kwa kishindo, likufuatiwa na mengine yote ya nyuma ambapo yalipasuka pia na kuacha vipandevipande kwenye njia ya kurukia.
Waliookota vipande hivyo wamesema kuwa wamekuta viraka(pechi, watu wa magari wananielewa zaidi hapa), kitu ambacho si kawaida kwenye usafiri wa jamii hii!
Rubani wa ndege hiyo amejitahidi kuitoa ndege hiyo nje ya njia ili kutozuia ndege nyingine kuruka, japokuwa mwishowe ilimgomea kabisa na kubaki ikisota pembeni mwa njia hiyo.
Kikubwa ni kwamba hakuna madhara yaliyowapata abiria, akiwemo Bwana Lowassa.
View attachment 126474
mpe pole mzee wa RichmondWanajamvi
Waziri mkuu aliyejiuzulu Edward Lowassa amenusurika kifo kufuatia ndege aliyopanda kupasuka magurudumu ya nyuma wakati ikitua uwanja wa ndege ARUSHA hivi punde.