Ndege ya KLM yasambaratika DIA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndege ya KLM yasambaratika DIA

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Jan 31, 2009.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,587
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  Kweli biashara ya ndege ni ukichaa, hapo mwanzoni iikuwa tumezoea ATCL, Precission watu wanaongea kweli lakini habari zilizotufikia hapa ni kwamba ile ndege ya KLM inayofanya safari za Dar imeshindwa kuruka toka majuzi huku abiria wakidanganywa spare inakuja,

  Nikiongea na mmoja wa abiria aliepelekwa hotel ya Lamada anasema "Hawa jamaa ni wahuni sana wametuweka hapa hotelini toka majuzi na kibaya zaidi leo hii wametuchukua mpaka airport na kutufanyia mnaita checking mwisho wanasema tukapande gari la kuturudisha hotelini. Iweje wanawaleta abiria bila hata kujua imepona au lah? Lazima kuna walakini hapa..."

  Kwanza napenda kuwapa poleni sana abiria wote pamoja na kuendelea kukaa hotelini na kwenda chooni na kurudi hilo tu swala la kushukuru ulizeni ndugu zenu wa precission ama "AIRTIME CHANGE" swala ni kwamba hiyo ndege imetengenezwa na mikono ya wanadamu so kuweni wapole tu hiyo kuja kurudi mtakwenda sana na kurudi...
   
 2. Obhusegwe

  Obhusegwe JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2009
  Joined: Dec 28, 2008
  Messages: 232
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kaazi kwelikweli!! Si washukuru na hiyo hoteli wamelipiwa?
   
 3. Elusive

  Elusive JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2009
  Joined: Nov 26, 2008
  Messages: 223
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Thank God they were kept in a hotel with free meals and beddings
   
 4. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #4
  Jan 31, 2009
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Thank God ubovu wa ndege ulijulikana kabla hawajaruka
   
 5. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #5
  Jan 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,587
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  yaaaaaaaaaaaaaaahhhhhhhh kweli mungu mkubwa nasikia tatizo kuna kitu kinaitwa flaps wenye uzoefu wanaweza kutumwagia kiligoma kufunguka wameleta na spare bado imekataaaaaaaaa nafikiri wawe waungwana jamani wawaleteee ndege nyingine hotelini kunabore hata kama unakula kuko...a na kun*a.*** kingine ni umuhimu wa safari wengine wanenda kwenye semina na wengine kazi za maana na wengiine mazikoni je maiti itakubali kusubiri wawe waungwana kwa kweli
  polen KLM,hili swaala la kawaida nasikia uko bongo majuzi emirates nao iligoma wakakaa mpaka jioni ahmad ikawaaka ,the goodthing wao likibuma kuna wanndishi wanawajua vimbelembele wanawaishiwa bahasha aaaaah mashallah
   
 6. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #6
  Jan 31, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  uzuri, ni kuwa walijua tatizo kabla haijaruka. Sina hakika ni marubani wangapi wangekuwa na ujasiri na utaalamu kama ule wa "Sully" wa ile ndege ya American Airways Wamshukuru Mungu kwa hilo. ndege inaharibika tu kama vyombo vingine vya usafiri.
   
 7. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #7
  Jan 31, 2009
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Niliwahi kuandika humu kuwa homa ya ATC inaambukiza? Mkanyamaza, hii ilikuwa JRO tarehe 26 January 2009 sasa kahoma hako bado kanaendelea. Hata hivyo tumshukuru Mungu hawakuwa wameesha-take off maana ingekuwa ni soo!
   
 8. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #8
  Jan 31, 2009
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Tatizo hakuna mtu alieandikiwa kufa kwenye ndege au kwa ajali ya kuanguka kwa ndege,yaani kama date zenu za kufa zingelingana basi ingekuwa saa hizi tunakilio,hivyo msilazimishe kuwa lazima muondoke,yaani baada ya kushukuru tatizo limegundulika mnajidai kurap.Ama kweli sikio la kufa.
   
 9. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #9
  Jan 31, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,587
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  Mkuu kaiza ni kweli umesema sema tatizo la ATCL ama precission maengineer wengi ni wazee na vijana hawataki kupewa nafasi so unakuta ndege inarudi toka safari mababu ndio wakwenda kushugulikia so unakuta anaamua kusaini kutokana na kuchoka bila kuangalia kila sehemu je kuna tatizo ama ???hii ni tatizo la tanzania daily na lingine wazee hao awataki kukubali hali halisi wamechoka mfano mi nilionyeshwa babu mmoja fundi wa ndege wa ATCL nilisema what??tofauti na wenzetu ukiacha mafundi wa kwetu wanakuja na wao so akili kumkichwa kaka si wenzetu ingekuwa precission ,,atcl ohhh sa nyingi iko ziwa victoria!!!
   
 10. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #10
  Jan 31, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  View attachment 3463 ...wing na tail flaps zinasaidia ndege wakati wa kuruka na kutua, (take off/landing). Bora ya nusu shari kuliko shari kamili,...au mlitaka hiyo MD-11 ya KLM ipitilize mpaka vingunguti ndio muamini imegoma kuruka?

  By the way, mnaoikandia KLM mnasahau kwamba hangar yao ya amsterdam ndio ATC ilikokuwa inapeleka ndege zetu miaka nenda rudi kuanzia zile Fokker enzi hizo mpaka 'Boingi'... siku hizi service wapi? ha ha ha...

  KQ na ubia wa KLM linaendelea kuwa shirika bora la ndege kwenye ukanda wa Africa mashariki, kama sio Africa nzima... Mstahmilie huo ujoto wa bakery mpate kuula mkate! Safari ni hatua, na kawia ufike!...
   
 11. IronBroom

  IronBroom JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2009
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 524
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35

  Ahsante Mama Mia kwa taarifa.
  Sincerely, hiyo heading jinsi ulivyoiweka..du.Nikawaza..yasambaratika?Kumbe.. ahh.
   
 12. R

  Risk taker Member

  #12
  Feb 1, 2009
  Joined: Jan 20, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Dege hilo (Boeing 777) lilibainika kuwa na ubovu baada ya abiria wote kuboard tayari kwa safari hivyo ikawalazimu kulala ndani ya ndege hadi asubuhi. Ingekuwa ATC au Precision wamelaza abiria kwenye ndege wabongo si ndio mngechonga hadi basi!!!!!!!!!!!!!!!!????????????
   
 13. R

  Risk taker Member

  #13
  Feb 1, 2009
  Joined: Jan 20, 2009
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Daily News; Saturday,January 31, 2009 @21:15

  About 200 passengers of KLM Royal Dutch Airline scheduled to travel to various destinations overseas have been stranded for almost three days and are uncertain of their travel, the 'Sunday News' has established.

  Reliable sources told the 'Sunday News' in Dar es Salaam yesterday that the travel, previously scheduled for last Thursday, was postponed for several times a situation that plunged most of the passengers into anxiety.

  “The flight, KLM number 571 was expected to leave on January 29, 2009 at 11.00pm and we were told to wait for 45 minutes as the flight was experiencing some technical problems,” one of the passengers who preferred anonymity told this paper.

  The passenger told the 'Sunday News' in a telephone conversation that upon expiry of the 45 minutes on that particular day, the passengers were suddenly told the trip had been cancelled. They were taken to various hotels to rest while waiting for further information. The hotels included Blue Pearl and Landmark Hotel at Ubungo area and Golden Tulip Hotel at Masaki.

  Another anonymous source complained that the KLM management had not been directly communicating with them, on contrary it was passing on information to them through hotels’ staff. “I was travelling to US and we have received (yesterday) information that there is another flight from Amsterdam which we are going to use and we would depart today (yesterday) at 22.30 pm.

  But we are not sure if this time the promise will materialize,” the traveller lamented. This paper visited the Golden Tulip Hotel and one of the staff, who preferred not to be named, confirmed that several KLM passengers were accommodated at the hotel since last Friday. However he could not allow the reporter to talk to any passenger, saying, “Some of them have gone to town for private business and others are just in their rooms resting. You better communicate with KLM directly,” he said.

  The KLM Country Manager, Mr Raymond Reedijk said all the 200 passengers were expected to leave yesterday at 22.30, “We have already informed and assured all the affected passengers that they will leave tonight and I think everything will be OK,” he said. KLM is the Netherlands national airline, and it operates domestic and worldwide scheduled passenger and cargo services to more than 90 destinations around the world.

  SOURCE;Daily News; Saturday,January 31, 2009 @21:15
   
 14. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2009
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,664
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  Hivi hiyo iliyopata matatizo ni Boing 777 au ni MD 11?
   
 15. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,587
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  Dege hilo (Boeing 777) lilibainika kuwa na ubovu baada ya abiria wote kuboard tayari kwa safari hivyo ikawalazimu kulala ndani ya ndege hadi asubuhi. Ingekuwa ATC au Precision wamelaza abiria kwenye ndege wabongo si ndio mngechonga hadi basi!!!!!!!!!!!!!!!!????????????

  MKUU TATIZO KUBWA WABONGO HAWAWATHAMINI WAANDISHI WA HABARI HAWA KLM WALICHOFANYA NI KAMA EMIRATES WAKIARIBIKIWA WANATAFUTA WAANDISHI WA CHAWI WANAKABIDHIWA BAHASHA KASOMEE KWENUHATA HUYU MWANDISHI LAITI WANGEMJUA NAFIKIRI ANGERUDI KUOMBA ADMIN AIFUTE AKIPEWA BAHASHA .....
  ....NA LINGINE WABONGO HATUJITHAMINI WENYEWE NDEGE ZA BONGO ZIKIARIBIKA
   
 16. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2009
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,587
  Likes Received: 5,773
  Trophy Points: 280
  --------------------------------------------------------------------------------

  Quote:
  Originally Posted by Risk taker
  Dege hilo (Boeing 777) lilibainika kuwa na ubovu baada ya abiria wote kuboard tayari kwa safari hivyo ikawalazimu kulala ndani ya ndege hadi asubuhi. Ingekuwa ATC au Precision wamelaza abiria kwenye ndege wabongo si ndio mngechonga hadi basi!!!!!!!!!!!!!!!!????????????


  Hivi hiyo iliyopata matatizo ni Boing 777 au ni MD 11?


  jamani kaizer hata kudesa mdogo wangu!!!!!huoni hapo juu amekuandikiaje??Boeing(777)..
  MD walishaachana nazo kitambo kidogo wako katika kuziondoa kabisa
  hi!!!
   
 17. e

  ejom Member

  #17
  Feb 1, 2009
  Joined: Jan 19, 2009
  Messages: 28
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  ndege ikianguka rubani alikuwa mzembe,inaposhugulikiwa wamewekwa hotelini,lipi jema.
  mvua ikinyesha malalamiko,jua likiwaka shida watanzania lipi jema kwenu
   
 18. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...ni kweli KLM wameziondoa MD-11, sasa wanatumia 425 seater Boeing 777-300er christened "Serengeti" kwa safari za Amsterdam-Kilimanjaro-Dar es Salaam-Amsterdam. Dege hilo lina umri wa miaka 9 tu toka lianze operation.

  ...kwa mujibu wa habari za leo, wamefika salama.
   
 19. Mhache

  Mhache JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2009
  Joined: Jun 20, 2008
  Messages: 346
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Poleni kwa yaliyowakuta. Je wanawalipa na mshahara au ni msosi tu wanawapa pamoja na malazi tu? Kwa wale ambao hawajawahi kukaa classic hotel kama hiyo itakuwa ni muda mzuri wa kuvinjari ndani ya hoteli. Je ikiwa haitengenezeki kwa mwezi mzima mtafanyaje? Kwa walioajiriwa mnawapa waajiri wenu maneno gani ili kibarua kisiote nyasi ikawa neema kwa sisi tusio na ajira. Poleni kwa yanayowasibu.
   
Loading...