Ndege ya KIKWETE hatimaye yakombolewa

alikwenda nayo botswana na picha za ndege hiyo tukaiona hapa jf huu ni uongo mwingine.

kuna jamaa yangu yuko airport nimemuuliza hivi punde kaniambia ndege ipo inaruka kama kawaida kasema niende kesho nikaone nitamwaga picha hapa
 
Inawezekana watu wanataka kule mshiko wa matengenezo. EPA nyingine
 
alikwenda nayo botswana na picha za ndege hiyo tukaiona hapa jf huu ni uongo mwingine.

kuna jamaa yangu yuko airport nimemuuliza hivi punde kaniambia ndege ipo inaruka kama kawaida kasema niende kesho nikaone nitamwaga picha hapa

Mama Porojo acha porojo kama jina lako.. G5 bado iko Savannah na ndo kwanza rubani wake ambae ndo chief wa ndege za serikali ameenda huko.. JK alikuwa anatumia Fokker 28 kwa safari za hapa karibu.. Alivyotoka Davos Fokker ilimfuata Ethopia..
 
Hii Folker 28 ni ya Serikali au ya kukodi?kwa nini asingepand Ethiopian kurejea nyumbani mpaka afuatwe na ndege?
 
Ha ha ha haaaa ha haaaaa ha ahhhhaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa WALINUNUA SCRAPPER HA HA HAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA WEZI HAIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
Acheni kusema Ndege ya Kikwete; Hana Ndege ni Ndege ya Wananchi wa Tanganyika na Zanzibar

Msimpe Ndege akiondoka aondoke nayo kama Marais wengine walaghai
 
kama imepona si tuiuze mapema kabla haijaanza tena kusumbua na kutafuna kodi zetu

Ni wazi Serikali imeshindwa gharama za kuhudumia hii ndege ya bei mbaya, na ni bora waiuze tu mapema wakati bado ipo mpyampya. Inavyoonekana, hakuna sehemu inayoweza kuhudumia regular inspection and maintenance requirements za ndege ya hali ya juu kama hii zaidi ya Marekani, ilhali hii ikiwa kwa bei mbaya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom