Ni kweli ni wazuri sana kwa kuwa wanaonyeshana ni kwa namna gani wanapenda na kujaliana.
Kwa bahati mbaya sisi wanadamu tumekuwa ni tofauti sana na hawa ndege na hata wanyama wengine, hii ni kutokana na namna tunavyoihsi cchini ya jua hili. Pamoja na kuwa tuna akili na werevu, lakini tumekuwa na hali ya u-mimi na hivyo kujenga chuki kwa wenzetu na hata kwa baadhi ya wanafamilia wetu. Tujiulize, je ni kweli tunatarajia Dunia kubadilika kwa hali hii, jibu ni hapana!
Kwanini? Kwa kuwa sisi wenyewe hajabadilika!
Katika hilo mpendwa, Inawezekana, TIMIZA WAJIBU WAKO!!