ndege wanapo rembua

ndege wanapo rembua

Kama wamekula mbegu za BANGE unadhani watatizamaje????? Lazima warembue tuuu
 
Ngoja waje wakunwaji watujuze though najiuliza kama hivyo ndivyo, mbona malipo atoe mkunaji?

Hilo ndilo tatizo la mfumo jike, raha tupate wote malipo alipe mmoja. Ikitokea wamechangia japo kidogo tu, baadhi yao utawakuta wamekuja humu mbio na kuanika hadharani kila kitu.
 
Hilo ndilo tatizo la mfumo jike, raha tupate wote malipo alipe mmoja. Ikitokea wamechangia japo kidogo tu, baadhi yao utawakuta wamekuja humu mbio na kuanika hadharani kila kitu.

Hahaa inabidi Snura aongeze hili shairi....Kukuna nikune mie, raha apate yeye, pesa nitoe mimiiii....mbona majangaaaa....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom