Ndege...ipo siku ntanunua
Ndege...ipo siku ntanunua
Ndege...ipo siku ntanunua
Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao."
Biashara inalipa...
Nimekupenda burrrrre, Alipo Mungu yote yanawezekana.
Mithali 8:17-21 "Nawapenda wale wanipendao, na wale wanitafutao kwa bidii wataniona. Utajiri na heshima ziko kwangu, Naam, utajiri udumuo, na haki pia. Matunda yangu hupita dhahabu, naam, dhahabu safi, na faida yangu hupita fedha iliyo teule. Natembea katika njia ya haki, katikati ya mapito ya hukumu. Niwarithishe mali wale wanipendao, tena nipate kuzijaza hazina zao."
Ushalewa divai wewe hujielewi. Huyo Joshua anafanya biashara gani mpaka aweze kupata pesa ya kununua ndege? Na je Kama kweli yeye ni nabii Mali za duniyani anazihusudu ili iweje.kama anapata pesa angewasaidia masikini na wasiojiweza.ningemuelewa otherwise namuona mpiga deal tu anawadanganya wakina lowassa wanamkatia mchuzi teh teh teh.kweli kuuona ufalme wa Mungu shughuli pevu.Kwanini na wewe usiifanye kama unadhani inalipa? Au unadhani hakuna gharama!
Kama utumishi ungekuwa ujanja ujanja kila mtu angefungua kanisa mkuu.
Waheshimu watumishi wa Mungu hepuka maneno ya kufuru. Hujui gharama wanayoipitia ndugu yangu, mpaka kuaminiwa na Mungu.