Ndege mpya ATCL kuanza kuruka Oct 15

Ndege mpya ATCL kuanza kuruka Oct 15

kweli raisi wetu magufuli atatutoa ushamba kweli kwenye mambo kama haya,zamani ndege kupanda ilikuwa anasa kwa sie walala hoi,ila mzee magu heshima katuletea,tutazipanda mpaka tuzichoke,
 
Ndege za ATCL zinatarajiwa kuanza kusafirisha kuanzia Oktoba 15 mwaka huu.

ATCL ambayo ina ndege tatu sasa hivi zitaanza safari za Mwanza, Arusha, Zanzibar, Kigoma, Tabora, Mbeya, Mtwara, Kilimanjaro, Bukoba, Dodoma na Mpanda.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo pia ndege hizo zitafanya safari kwenda Comoro, Nairobi na Entebbe.

Chanzo:Mwananchi
 
Route ya kwenda/kupita Mpanda sijui watakuwa wanapanda wangapi na kushuka wangapi.

Tusubiri.
 
Ndege za ATCL zinatarajiwa kuanza kusafirisha kuanzia Oktoba 15 mwaka huu.

ATCL ambayo ina ndege tatu sasa hivi zitaanza safari za Mwanza, Arusha, Zanzibar, Kigoma, Tabora, Mbeya, Mtwara, Kilimanjaro, Bukoba, Dodoma na Mpanda.

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na shirika hilo pia ndege hizo zitafanya safari kwenda Comoro, Nairobi na Entebbe.

Chanzo:Mwananchi

Vipi kuhusu swala la nauli?
 
Du!
Inamaana hazitafanya safari ya kwenda Dar es saalam!?
 
Jamani hivi ATC wameanza kazi. Naomba kujua, it was scheduled to start on 15th
 
Nihakikishieni kama hazipakii vigunia vya mkaa.
 
Back
Top Bottom