Ndege mbili kutua kwa mpigo Disemba hii

shulembuyuuuuu-1.jpg

Awamu hii imeparamia madege wakati vipaumbele vinaachwa.
 
TZ_Northern_donkeys.jpg

Tatizo tulilonalo ni kutojua tunataka nini haswa elimu,miundombinu,maji safi,hatujamaliza kukamilisha tunadandia madege.

Upinzani umekuwa ukishauri sana kuhusu haya lakini wanaitwa "Maadui".
 
Pongezi sana kwa serikali, ila tukumbushane tu chama chochote kikishika madaraka kinaweza kufanya hivi vitu vidogo vidogo vya kutumia asilimia 0.06% ya bajeti
Ni kweli usemayo Lakini kuna vyama Vina umri wa miaka 25 sasa na vinapokea ruzuku ua zaidi ya 300 mil Lakini Bado ofisi kuu hawana... Hawa nao wataweza kweli?

Charity begins at home
 
MISULI utajaribu kutetea mambo ambayo hayawezekani kuyatetea hatimae unakomaa kwenye Screen za Simu/laptop/PC mpaka macho yanapunvua nguvu ya kuona hatimae yanakukuta ya LIZABONI upofu na nuru ya macho inapungua ukiwaambia UVCCM wakusaidie hola!..ndugu yangu Jiunge na Chadema upate kuutetea ukweli,mimi nimesha chukua kadi yangu na lengo langu kukijenga Chama changu kipya visiwani na bara mwakani mambo yatakuwa Motomoto.
 
Ni kweli usemayo Lakini kuna vyama Vina umri wa miaka 25 sasa na vinapokea ruzuku ua zaidi ya 300 mil Lakini Bado ofisi kuu hawana... Hawa nao wataweza kweli?

Charity begins at home
ukipewa masaa 24kukata mti tumia masaa 20 kulinoa panga......ukijiongeza utajua nachomaanisha
 
Back
Top Bottom