Mama Mdogo
JF-Expert Member
- Nov 21, 2007
- 2,976
- 2,173
Mmarekani ana hii,
Edited wakuu, ilikuwa ni kupitiwa tu huko ndo maana nilichanganya habari. Sorry!!!
Si vibaya pia ukikubali kuwa ulikuwa hujui tofauti ya hivyo vyombo.
Ndiyo mkuu, sikuwa najua tofauti yake ndo maana nilichanganya habari!!!
Sent from my iPhone using JamiiForums app
kyimo kijiji kitulifu.inawezekana,kwani tanzania tunazo nne,moja ziwa victoria ipo base ya mwanza,nyingine ziwa nyasa ndio maana wamalawi waligwaya wakakurupuka kwenda kununua boti nne zilizomkaanga Banda kwenye uchaguz wa urais. nyingine ziwa Danganyika na bahari ya hindi,hii inawatisha AL SHABAAB pia.tupo imara kwel kwel.yaan namaanisha aircraft carier,hapo nili overlook