NDEGE inayobeba Treni

NDEGE inayobeba Treni

Mmarekani ana hii,

Ndege kubwa za mizigo ni Antonov 225 (Urusi) na Galaxy C5 (USA); ila Antov 225 ni zaidi. Jionee tofauti

(1) Max Takeoff Weight: Galaxy C5=840,000 lbs. Antov 225=1,410,944 lbs

(2) Max Payload:Galaxy C5=285,000 lbs. Antov 225=1,4551,150 lb
 
sipati picha ikitua kwenye viwanja vyetu Tanzania ikiwa imepakia hiyo treni.....itatengeneza maandaki balaa
 
inawezekana,kwani tanzania tunazo nne,moja ziwa victoria ipo base ya mwanza,nyingine ziwa nyasa ndio maana wamalawi waligwaya wakakurupuka kwenda kununua boti nne zilizomkaanga Banda kwenye uchaguz wa urais. nyingine ziwa Danganyika na bahari ya hindi,hii inawatisha AL SHABAAB pia.tupo imara kwel kwel.yaan namaanisha aircraft carier,hapo nili overlook
kyimo kijiji kitulifu.
ughonile ghwa kukajha.
 
Kuna siku hapo kati ya Germany na Amsterdam nikisafiri tulifika mahali treni na abiria wake,mabasi,malori na private cars zisizo na hesabu wote tuliingizwa ndani ya pantoni moja
tukavushwa.nilishangaa sana
 
attachment.php

Antonov 225 ni noma, lipo moja tu duniani, ilitengenezwa 1988 kipindi cha vita baridi...maximum takeoff weight ni 640tonnes.. it's huge aircraft ever built in the World. Watu wengi humu limewapita umri!
 
Back
Top Bottom