barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,803
Mkuu hiyo tena sio ndege bali dege...
Sio dege tena, ni gujim-dege!
Mkuu hiyo tena sio ndege bali dege...
!
!
lijidege........hilo lidege laweza kubeba hata gorofa hakyanani.
Duh! Kwa hiyo inaweza kubeba hata treni ya Mwakiyembe!?
View attachment 217939View attachment 217939View attachment 217939View attachment 217940View attachment 217939View attachment 217939hizi ndio military air craft carier
i
Hahahaha!!!!! eti air craft carrier!!!!! unaijua air craft carrier weye?
Nenda tena usome maana ya aircraft carrier!
Niliona moja Mwanza ilikuja imebeba chakula cha wakimbizi 1994!Niliona Scania na tela yake imeingia naikageuka nilishika mdomo kwakuwa mwaka huo ilikuwa mara yakwanza kuona ndege kubwa kama hiyo!
inawezekana,kwani tanzania tunazo nne,moja ziwa victoria ipo base ya mwanza,nyingine ziwa nyasa ndio maana wamalawi waligwaya wakakurupuka kwenda kununua boti nne zilizomkaanga Banda kwenye uchaguz wa urais. nyingine ziwa Danganyika na bahari ya hindi,hii inawatisha AL SHABAAB pia.tupo imara kwel kwel.yaan namaanisha aircraft carier,hapo nili overlookAcha uongo wewe!!!
inawezekana,kwani tanzania tunazo nne,moja ziwa victoria ipo base ya mwanza,nyingine ziwa nyasa ndio maana wamalawi waligwaya wakakurupuka kwenda kununua boti nne zilizomkaanga Banda kwenye uchaguz wa urais. nyingine ziwa Danganyika na bahari ya hindi,hii inawatisha AL SHABAAB pia.tupo imara kwel kwel.yaan namaanisha aircraft carier,hapo nili overlook

Uongo wangu nini??Acha uongo wewe!!!
Nadhani hadi sasa aircraft carrier kubwa kuliko zote ni ile ya USA, George Washingtonmwambie ,wamezoea kukaririshwa mambo.me kwetu tumekaririswa kuwa aircraft carrier ni lile dude kubwa linalopita juu ya maji kama meli vile eti?likitumika kubeba wanamaji,na vifaa vya kivita,kama vile vifaru,magari ya deraya ,midege kibao ya kivita likiwa na eneo maalumu ya kurukia na kutua kwa midege hiyo sijui ndio manowari kwa lugha yetu,military aircraft carier.