Ndege iliyopotea kama ingekuwa ni ya Tanzania?

Kikwete angeenda likizo Kwa Obamaa
Zingetengenezwaa tishrt zenye bandiko la ndegee,
 
Najaribu kuvuta picha, nini kingetokea kama ndege iliyopotea ingekuwa ni ya Tanzania, kuna baadhi ya matukio yangetokea kama vile: 1. Serikali ingetoa mapumziko nchi nzima 2. Zingeundwa tume kama 700 hivi kutafuta chanzo cha kupotea kwa ndege, na tume nyingine 900 kutafuta ndege ilipo. Endelea na wewe kutuambia unahisi nini kingejiri hapa Bongo...

Kptn Komba na TOT band wangekuwa wameshatoa Album ya nyimbo za maombolezi kwa waanga waliopotea na ndege
 
Engineer, mmiliki wa ndege, muongoza ndege wa zamu, etc. wangekamatwa na kufunguliwa kesi ya kuua watu 239
 
  • Thanks
Reactions: y-n
makachezo lukuki wangewasili kwa kasi TZ kuanza.kuchora.vikaragosi vya kuwaongoza ilipp..
 
Najaribu kuvuta picha, nini kingetokea kama ndege iliyopotea ingekuwa ni ya Tanzania, kuna baadhi ya matukio yangetokea kama vile: 1. Serikali ingetoa mapumziko nchi nzima 2. Zingeundwa tume kama 700 hivi kutafuta chanzo cha kupotea kwa ndege, na tume nyingine 900 kutafuta ndege ilipo. Endelea na wewe kutuambia unahisi nini kingejiri hapa Bongo...

HAPANA INGEKUA BONGO INGEKUA HIVI:

- ungesikia matamko kibao ya kisiasa....
-Serikali ijiuzulu,
-Rais kashindwa kuiona ndege hafai,

- Chagueni chama chetu uchaguzi ujao ndege zikipotea tutaziona mara moja,

-ingekuwa sisi ndege ingeshapatikana,

-Mafisadi waliiba mafuta,

-ndege ilinunuliwa kwa rushwa,

-Kwanza ndege yenyewe ilikuwa mbovu serikali ijiuzuru............
 
Ombea sana isitokee maana pengine ile idadi ya watu waliokuwemo wana jamii forum pengine wasingekosekana humo
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Najaribu kuvuta picha, nini kingetokea kama ndege iliyopotea ingekuwa ni ya Tanzania, kuna baadhi ya matukio yangetokea kama vile: 1. Serikali ingetoa mapumziko nchi nzima 2. Zingeundwa tume kama 700 hivi kutafuta chanzo cha kupotea kwa ndege, na tume nyingine 900 kutafuta ndege ilipo. Endelea na wewe kutuambia unahisi nini kingejiri hapa Bongo...

bungeni kungekuwa akukalli
 
Back
Top Bottom