Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 580
Nikikuuliza hyo ndege yaitwaje jibu unalo? Au na ww bendera fata upepo kwa sbb kuna mtu amesema ni za mwaka 1956?
Hyo siyo mig21 au chinese shengyan.., pata lunch kwanza afu tuje tuichambue hii ndege
kama ilishindwa kuruka, ilikuaje marubani watumie parachute?
Wajumbe msitokwe sana na mapovu kuhusu rangi ya iyo ndege. Iyo ni ndege ya mafunzo, Kwa ndege ya mafunzo zinatumia rangi ya njano or nyeupe. Reason ni raisi kutambuliwa na ndege nyingine zilizokua angani na ground forces. Pia inapotokea kupata itirafu na kuanguka ni rais zaidi kuiona, kuliko zile zenye rangi halisi za kivita.

Hapana mzee, nilijifunza kujumlisha na kutoaKijana,, darasa la kwanza ulifundishwa calculus? Au trigonometry?
Ujione unajua ingali we mweupe tu hiyo ni Mikoyan-Gurevich MiG 21 kanywe kahawa kwanza
Hahahahaaaaaa,,, OMG!! Aiseeee!! Kuanzia leo nikiona post zako ntakua nacheka tu! Dah!
Jamani bora tuwe wapole, kweli tutaweza vita na ndege za namna hiyo??utadhani zimetengenezwa veta??? Aibuuuuuu......Malawi wakiona hyo ndege c ndo wanapata nguvu kabisa ya kuchukuwa ziwa lote?????
Kama hii ndiyo ndege ya kivita basi Ziwa nyasa tumelikosa.aisee ndege ya kivita lkn imechoka sana.
yeah. hii ni ndege ya kujifunzia, lakini watu kuna kitu hawajui kwamba kifaa chochote cha kivita huwa hakiwi kikukuu. hiyo ikikudondoshea bomu ndo utajua ina ubora gani. mia
Uko Lilongwe kuna sherehe sizizo za kawaida baada ya kusikia na kuiona ndege yetu ya kivita ulivyochoka