Moshe Dayan
JF-Expert Member
- Feb 10, 2008
- 815
- 712
Tueshimiane ***** niniMpuuuzi
DAh kwa mtindo huo wa Nyanja aka wa malawi watatatuvuruga hadi mpakani mwa kenya, km vijindege vyenyewe ndo hivi vimechooooooooooooooka khaaaaaaaaaaaaaaa
Mbona ina rangi mbaya hivyo? Toka lini?
Tueshimiane ***** nini
mmejaa wapuuzi tu hapa......, mnachonga hamjui lolote...,
Ndege za mafunzo hua na rangi ya njano au nyeupe..., na hyo ndege ni moja ya ndege za kisasa za mafunzo duniani.., kama hamjui haya mambo semeni nianzishe thread ya kuwaelimisha kuhusu fleet mpya ya ndege zetu za mazoezi...,
daaah huu uwongo inabidi ukawakusanye watoto wa chekechea afu ndo uwaeleze utumbo kama huu na uwelimishe kuhusu ndege zako za kisasa zilizotengenezwa 1956...
daaah huu uwongo inabidi ukawakusanye watoto wa chekechea afu ndo uwaeleze utumbo kama huu na uwelimishe kuhusu ndege zako za kisasa zilizotengenezwa 1956...
kwani ndege za mazoezi ni zipi na za kivita ni zipi??? kwa ninavyojua ndege za kivita ndo zinatumika kwa mazoezi sema zinakuwa sio armed.....hizi ni ndege za mazoezi ..sio za kivita..nafikiri muwe waziii zaidi... na mkumbuke si kila kitu cha kuongea..kama mumeona hata kwenye gazeti hakuna hiyo stori.. tujifunze pia.
tuache uchadema vs uccm
Wanasema ndege ilikuwa kwenye run way Ilishindwa ku take off so wakatumia parashute!! kwa hiyo hawajui matumizi sahihi ya parashute?? au mambo yetu yale ya kucopy na kupaste??
hapo ndipo nashindwa kushangaa!walikuwa ardhini kisha wakabonyeza kitufe cha kuwarusha angani mita 100 juu.kulikuwa na haja gani ya kubonyeza kitufe si wangeruka tu kama kwenye daladala wangepata michubuko kidogo.Ila ukiangalia kwa makini paa la kioo limevunjika vunjika inawezekana halikufunguka kwa haraka labda iliwapunguzia kasi ya kufika hizo mita 100 na kisha kuzuia miavuli kufunguka!Ila pole mjeda uliesalimikana pole kwa wafiwa kwa Mjeda alietangulia.kama ilishindwa kuruka, ilikuaje marubani watumie parachute?
kwani ndege za mazoezi ni zipi na za kivita ni zipi??? kwa ninavyojua ndege za kivita ndo zinatumika kwa mazoezi sema zinakuwa sio armed.....
Nikikuuliza hyo ndege yaitwaje jibu unalo? Au na ww bendera fata upepo kwa sbb kuna mtu amesema ni za mwaka 1956?
Hyo siyo mig21 au chinese shengyan.., pata lunch kwanza afu tuje tuichambue hii ndege
yeah. hii ni ndege ya kujifunzia, lakini watu kuna kitu hawajui kwamba kifaa chochote cha kivita huwa hakiwi kikukuu. hiyo ikikudondoshea bomu ndo utajua ina ubora gani. mia
aisee ndege ya kivita lkn imechoka sana.