Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 361,165
- 831,910
bei yake ilikuwa ngapi,maana kuna thread mwaka jana au juzi ililetwa humu kuna ndege imeuzwa bongo na kununuliwa sh laki tano.
Subirini wakuu, mkuu wa nchi very soon atatoa majibu ya uhozo huu wote, soon tegemeeni baraza jipya la mawaziri, nyalandu out
USD laki 498, freight usd 4000 total usd laki 502/=
Ndege Sio mama gari ukiendesha Collolla na Mercedes utaweza, muse wasomi kaulizieni TCAA mama mnawajua!View attachment 209547View attachment 209548
Haikuwa mpya bali ilipakwa rangi upya
Ilikuwa inatumika Kenya
Ilikuwa chakavu kiasi cha kukosa hadhi ya kuruka tena
Mpaka inakabidhiwa kwa nyalandu ilikuwa na usajili was Kenya
Ndio imeua mapilot wetu wane wiki moja baada ya kutoka Kenya kubadilishwa usajili
Chanzo: gazeti la Jamhuri