Ndege Bundi

Ndege Bundi

Punguza woga mamiiiii.

Ila kuna kipindi ikitokea hali kama hizo, chukua chumvi choma.

Watasepa kama ni wa kutumwa
 
Mkiogopa kulia Kwa ndege Mbona mtakuwa mnaishi maisha magumu sana
 
Bundi ni ndege tu, wala hajui nyunba yako yeye alijua ni juu ya mti, nenda kwa fundi zikutoke gharama
 
Back
Top Bottom