Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,009
- 6,763
Shaheed (Kamikaze) , mnajua sifa yake Kuu??
Labda wanatumia reserve ya pesa za urusi na warusi zilizokuwa huko kwenye mabank yao maana wamezishikilia huku wakisema ni misaada yao.Vichekesho kabisa, Sasa Ukraine inajisifu kudungua Drones 8 za kamikaze zenye thamani ya karibia $ Elfu 20 sawa na Tshs.50,000,000/= kwa kila moja, kombora la kudungua 2,000,000,000,/= tena za mkopo.
Hapa Ukraine na Nato yake plus US wanapata hasara kubwa.
Mwanzo Urusi ilitumia makombora ya gharama kubwa kudhoofisha mifumo ya anga ya Ukraine pamoja na miundombinu nyinginezo. Sasa hivi anatumia Kamikaze ambazo ni chipper weapon kwa Vita hivi vya muda mrefu hili adhoofishe Ulaya.
Ila SHERIA za Kimataifa haziruhusu, pia Mali zao Kama Ndege, Viwanda n.k vilivyo cremlin vipo salama.Labda wanatumia reserve ya pesa za urusi na warusi zilizokuwa huko kwenye mabank yao maana wamezishikilia huku wakisema ni misaada yao.
Sisi tunajua ni jeshi la Ukraine kwa maana hao unaowasema hatujawaona huko.Ni jeshi la USA + NATO + UE wala si jeshi la UKRAINE Vs Jeshi la Mtu mmoja "PUT IN/RUSSIA".
Ni USD 350 Billion Tu zimeshikiliwa njeLabda wanatumia reserve ya pesa za urusi na warusi zilizokuwa huko kwenye mabank yao maana wamezishikilia huku wakisema ni misaada yao.
WatasemaaNi USD 350 Billion Tu zimeshikiliwa nje
View attachment 2406532
Mkuu wa jimbo la Dnepropetrovsk Valentin Reznichenko amesema kwamba, mifumo ya kulinda anga ya Ukraine iliangusha ndege nane zisizo na rubani za shaheed , katika jimbo la Dnepropetrovsk .
Kulingana na Reznichenko, zote ziliangushwa katika eneo la Nikopol.
Hizo drones zinaangushwa kama nzige, kama ni kuwapa moyo raia wa ukraine sasa ni kwann russia anaendelea kukodi silaha toka Iran?Habari zinazo tolewa na wasemaji wa jeshi la Zelensky mara nyingi ni za kutunga tu,wakati mwingine wanaleta habari za kuwatia matumaini raia wa Ukraine walio kwisha kata tamaa.
Kijeshi mbinu zinazo tumika katika mashambulizi ya kamikaze Drones ni kutuma drones nyingi kwenye highly valued target kwa imani kwamba hata zikitunuliwa kuna chache zitafikia target na kuilipua - that is the idea behind this smart tactics, therefore kutungua baadhi hilo tu haliwezi kuwasaidia chochote Ukraine zaidi ya kupoteza/deplete ammunitions/roketis zao ya gharama kubwa kwa kutungua vi-drones vya bei ndogo.
Hizo drones zinaangushwa kama nzige, kama ni kuwapa moyo raia wa ukraine sasa ni kwann russia anaendelea kukodi silaha toka Iran?
Jana katangaza wafungwa waliokuwa wamefungwa kwa makosa ya kula unga na madawa ya kulevya waandikishwe wende machinjioni, yoote haya ni ya nn?
Ukiambiwa jiambie awal russia alitangaza saa 72 kuisambaratisha ukraine kapatwa na nini leo miezi 8 imeisha anaomba msaada wa silaha Iran
Unasahau kuwa iran inamsaidia UrusiNi jeshi la USA + NATO + UE wala si jeshi la UKRAINE Vs Jeshi la Mtu mmoja "PUT IN/RUSSIA".
Mkuu utapata shida sana kutaka ukweli maneno aliyosema putin na kuhitaji vyanzoWakati mwingine msiwe mnauliza maswali mengine ambayo hayana mantiki hata kidogo - ni wapi kwa mfano: Putin aliwahi kusema atakuwa amemaliza operarion yake nchini Ukraine within 72 hour,wapi, leta ushahidi?
Nani ambaye hajui kwamba madai hayo yalizalishwa na vyombo vya habari vya mataifa ya magharibi for political gain.
Mnao dai eti Putin kakwama ndio maana anachukua muda mrefu kupigana huko Ukraine - mkihojiwa,je,Wamerikani walichukua muda gani kupigana huko VietNam,je,mwisho wa siku walihambulia nini kama sio kushindwa na aibu tele - leo hii hilo hamulisemi kwamba US ilipigana kwa miaka 10 na wakashindwa.
Suala la kununua silaha kutoka mataifa mbali mbali, kwa nini mnaona ajabu Urusi kununua silaha kutoka Iran, kwa mfano - na hiyo mnaichukulia kama ni hoja ya maana kweli? Mbona Amerika ununua silaha na mahitaji mengine ya kijeshi kutoka mataifa tofauti mfano: Brazil, Israel,Norway nikiwambia wakati mwingine US ununua kutoka Urusi tutabishana usiku kucha, mtasema: aah, haiwezekani Amerika haiwezi kununua silaha na mahitaji mengine ya kijeshi kutoka Urusi - ndio imani zenu zilivyo, mnafikiri Amerika inajitosheleza kwa kila kitu - wakati hiyo si kweli hata kidogo.