Dah nakuona aisee gonga samaki unapokuwa mwanza...mi lunch huwa hapo victoria annexNimetoka north hotel kuna roast kuku safi sana that was for starter,now niko victoria hotel nasubiria mdudu dah thanx guys
Najua unaenjoy jiji ila usisahau kwenda kisiwa cha SAA NANE ukaone nchi...
hehe wats so new there?
Ni kisiwa kinachoonekana saa nane tu..hebu fuatilia ujue kwa undani maana ni nilistaajabu yaliyoko huko ila sikwenda kwa uoga wa maji..
Ni kisiwa kinachoonekana saa nane tu..hebu fuatilia ujue kwa undani maana ni nilistaajabu yaliyoko huko ila sikwenda kwa uoga wa maji..
kuna wanyama gani huko?nitaenda kote kwa jinsi muda utakavoruhusu
Kuna Simba, Sokwe n.k. Ila usiende huko kama uko kwenye "mwezi" maana wale Sokwe wa kiume hawana adabu wanaweza kukuadhiri kwa maana wana uwezo wa kunusa kitu kinaitwa "Pheromone" kutoka kwa mnyama wa kike akiwemo binadamu pale anapokuwa"mwezini" hivyo huanza kuwasumbua. Kuna dada mmoja alitaka kuadhirika baada ya Sokwe kuonekana kumganda kila anakokwenda wengine hawakuelewa ni kwanini akiwemo yeye mwenyewe mpaka topic hiyo ilipofundishwa darasani.
Pazuri pa kupata Lunch au dinner ni Freedom Hotel, Kirumba karibu na Magnum Hotel. Jamaa ni watalaamu wa kuchoma Sato hamna mfano. Unapata sato mzima na ugali kwa bei rahisi kabisa. Ukipata muda zaidi karibu kwetu Kayenze around 56 km from city centre
thanx much,hapo nitaenda jumanne.Na hiyo 56 km ndo umbali gani wengine tulikuwa tunakimbia madarasa ya hesabu
Panda meli pia,uende BKB... Nice place,nice people...
Na ni adventure kama hujawahi panda meli..
thanx much,hapo nitaenda jumanne.Na hiyo 56 km ndo umbali gani wengine tulikuwa tunakimbia madarasa ya hesabu
Km 56 ni umbali kama wa kutoka Ubungo mataa hadi Ruvu
dah aisee hii ni kali,sasa hawa sokwe nao wananunusa ili iweje lol
"Mating" ya wanyama hufanyika hasa pale jike anapokuwa kwenye "heat". Kwahiyo Sokwe akinusa hiyo harusu hata kwa mdada basi anajua kuwa huyu dada anahitaji bila kujali kuwa sisi wanadamu hatuko hivyo.
dah hii biology kali sana ndugu yangu, owkay.
Ni biology ya kawaida sana dadangu hii.
haya masomo ya PCMB niliachana nayo form2 mwalimu akiingia nilikuwa napishana nae mlangoni
Ooooh! Pole. Haya karibu kwetu Kayenze sasa kabla hujatoka MZA