Ndani ya ndoa ni ndoano

Goodluck TZ

JF-Expert Member
Oct 24, 2015
1,448
661
ndan ya ndoa hii kulikuwa na kutokuelewana mwanamke akawa ananong'ona hv:
***
mwanamke: yaan bora kuolewa na shetan kuliko huyu bwana
mume: DINNI zimeshakataza mtu kuolewa na ndugu yake
______
 
Nlivyoelewa,huyu mama kwa kero za nyumba yake,akasema Ni bora angeolewa na shetani,huyo mume akamjibu hairuhusiwi mtu kuolewa na nduguye akimaanisha yule mama na shetani wana undugu.
 
Back
Top Bottom