Ndani ya mjengo!!!

Ndani ya mjengo!!!

lukindo

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2010
Posts
8,467
Reaction score
9,053
Wanajamvi,
msinielewe vibaya bali nataka kushare nanyi kile kinachoendelea katika Bunge (wanasemaga sijui la ngapi vile?) Vs Posho za kila siku, salary 10m, pension isiyo elezeka, mafao yasiyoguswa na NSSF/PPF ...na mengine mengi.


Je, hii yeweza kuwa inasababishwa na kutokuwa na mipangilio inayoeleweka pamoja na udikiteta uliokithiri wa bunge la safari hii!?

Nawasilisha


View attachment 59737
 
Bora aendelee kung`alisha viatu vyake kuliko kuchangia asicho kisimamia.
 
Ha ha ha ha ha haaaa ujue humo mjengoni kuna vituko vingi sana
 
Huyo mbunge alichaguliwa tu kwa hasira za wananchi kuchakachuliwa mgombea wao waliyemtaka ccm katika kura za maoni,kwa kpindi kile hata angegombea bibi kizee wangempa.credibility ya mbunge huyu ni very questionable.
Si haba jamaa kasimamisha nyumba fasta mjini.yatosha
 
Bora aendelee kung`alisha viatu vyake kuliko kuchangia asicho kisimamia.
wengi huenda tusikuamini kwa usemalo lakini nahisi ndipo ukweli ulipolala

 
sishangai ingekua lissu angetoka zake nje lakini hii style nimeipenda ni zaidi ya kutoka nje
 
ukipata mtu anayevivuta hivi vituko mtacheka mpaka mwisho yani vichekesho mtindo mmoja
 
Hahahahahah!! wananchi wa Lindi walilamba garasha!! sijawahi kumsikia akiongea hata kama hakubaliani na kile asichokiamini! Lol
 
tz ...the land where everything is possible!!!!
 
If you rushed to a meeting would you have a settled mind, if you realised you had stained your tie?
I guess not, you would do what every resonable man, would do;change the tie. However, what is important to note here is, where would that tie be changed?

PS- Let us not forget the word "rush".
 
Wonders will never end!!!!! Of all the venues, Mjengoni?
 
Back
Top Bottom