Ndani ya mjengo!!!

Ndani ya mjengo!!!

Kwa muda sana nilikuwa natafuta picha ya Avata, nadhani sasa nimeipata, wadau nisaidieni namna ya kuimiliki picha hii murua!
 
Maisha bora kwa kila mtanzania....anawakilisha watembea kwa miguu ndio maana viatu vina vumbi....
 
Dah muheshimiwa amenifurahisha ile mbaya,kumbe hawajamaa wana jiachiaga kinoma aise,nimekumbuka yule waziri waucreani aliyekuwa anaangalia xxxx videos akanaswa na kamera akaamua kujiuzuru uwakilishi na uwaziri wake,nawasiwasi na hawa waheshimiwa. nimecheka hadi basi
 
Back
Top Bottom