Ndani ya JF: Hakuna ambalo halijawahi kusemwa Juu ya Yanayotokea Ndani ya CHADEMA

Mkuu Omutwale
umegonga Ikulu,,,

Lakini ukiangalia kwa jicho la tatu utagundua kuwa Zitto anawatumia tu
hawa vijana lakini tamaa yake iko kwenye gesi ya Mtwara. Hebu fikiria
ile Thread ya TUNTEMEKE ya Barua ya watu wa kusini kwa Zitto inayohusu
gesi, then nenda kwenye maelezo ya Kafulila kuwa Zitto ndio atatengeneza
sera ya gesi ya CHAUMMA na maandiko yake mengi ambayo Zitto huwa
anayatoa kuhusu gesi... Huyu dogo ni hatari sana kwa usalama na ustawi
wa Taifa letu, na kwa kuwa anajilinda kishirikina anakuwa anajiamini
kupita kiasi

Zito ni mshirikina kupita maelezo. Ukitaka habari kamili muulize Mudhihiri Mudhihiri, alivyokatika mkono hule hule aliomnyooshea Zito Matunguli bungeni.... Alimwabia "kaa chini" kwa ukali, kumbe kigagula Zito alimindi...
 
Wanayofanya akina prezzo,cobra,mdude,benazir and co ni utoto kabisa.Mambo haya yanafanywa na wanafunzi wa msingi na sekondari,leo hii yanapofanywa na watu wazima kama hao napata shida kuamini kama uwezo wao wa kufikiri hauna matatizo.Makundi ya ugangster waliyojifunza kipindi wako shule yaliwaingia kikamilifu kunako ubongo na sasa ndo madhara yake tunayaona.Shuleni magenge haya huwa yanapewa adhabu kali sana na chadema nitashangaa kama adhabu haitatolewa dhidi yao.UJUMBE KWA BENAZIR [juliana shonza],ungekuwa na akili usinge launch a public attack kwa dakt silaa labda unajitaftia kufukuzwa bure na kupotea kwenye ulingo wa siasa.Dr. Slaa sio wa kuingia kichwa kichwa kwenye anga zake. PREZZO mwenyewe anamuogopa na anatumia ujanja mno kumwattack sasa wewe unayedanganywa na sungura mjanja prezzo unaingia kichwa kichwa kumshambulia m2 ambaye ana nguvu kubwa kwenye chama chenu,mi nadhani hautabaki salama.Mi nakushauri ungetumia silaha nyingine kupambana na dakt slaa kwa kufanya mema ambayo dakt slaa na viongozi wengine watakuona kwamba umesharejea kwenye mstari na una stahili u kamanda wa ukweli.Vinginevyo utabaki makumbusho.Who are u benazir? In politics ur in kindergatten clas while dr. Slaa is plying his trade in a phd class
 
Inatia aibu sana na inasikitisha unajinadi kuwa unataka kuwa Amiri Jeshi Mkuu harafu unakuja kujisifia hum kuwa we ni mshirikina? Aina gani hii ya siasa na viongozi tulio nao? Shame on you Zitto. Naona leo PM 7 wako kimya sana sijui wanajipanga? Au wamelekwa kwa mganga na Rais mtarajiwa?
 
Nimekaa bila kupumua huku nasoma haya mambo hadi namaliza.Huu mchezo ni wa Kishetani na kama ndio hivi ni bora Mchawi Zitto atwachie CDM yetu potelea mbali.Ni Mshenzi tena Mshirikina.
 
Prezzo! Duh. Mwaka huu tutaona mengi sana

Soma kwa umakini ujue sura ya majukwaani ya Mr. Prezzo:
Vijana, wote wa vyama vyote, siku zote simamieni misingi (principles) na sio kusimamia watu. Watu sio mawe. Mtaja juta. Misingi inadumu. Watu hawadumu. Acheni kuramba miguu ya watu. Simamieni misingi ya chama. Misingi ya nchi yetu. Misingi ya demokrasia. Kataeni kutumika.

Angalia malezi halisi anayotoa nyuma ya pazia!

MCHANGE NI MWANASIASA SAFI AMBAYE SI MNAFIKI KABISA,AMEONESHA YEYE ANAMKUBALI NANI ANAMSAPOTI NANI KATIKA ULINGO WA KISIASA HASA UKIANGALIA SIASA ZA NCHI HII ILIVYOKUWA ZA KINAFIKI. ZITTO HATA MIMI NAKUUNGA MKONO,NAKUSAPOTI KISIASA NA WEWE NDIYE ULINIFANYA NICHUKUE KADI
….wamelenga kunichafua mimi na wenzangu Mchange, Mwampamba, Gwakisa, Sanga akiwemo kiongozi mwandamizi wa chama naibu katibu mkuu na mbunge mh Zitto Zubery kabwe. Huku wakimtuhumu zitto kuwa ndiye mmiliki wa masalia katika harakati za kuhujumu chama na kuwachafua viongozi mtandaoni. Kabla sijaanza kujibu hoja za Ben na mamuya niweke wazi kwamba Zitto ni kiongozi wangu. Namheshimu kabisa kabisa
Exaud Mamuya … .…..baada yakugundua kuwa kawasaliti na kuhamia kambi ya Zitto. Akajinadi kwamba ni kweli amehamia kambi ya zitto.
 
Zitto anawanyima ucngizi... mtasema sana but jamaa no jembe na ana mchango mkubwa sana CHADEMA
 
Back
Top Bottom