kande kavu
JF-Expert Member
- Sep 17, 2011
- 234
- 89
Habari, wana jamvi naomba kufahmishwa kwa wale ambao wameshawahi kuipanda hiyo ndege.Kwan kuna jamaa yangu kaja jana kutoka mwanza na hyo ndege,kaniambia kuwa vitu kama vinywaji na vitafunwa unanunua kwa cash, sasa naomba uhakika wa hilo ili nitakapoanza kuzimeki ili na mm nipande ndege kwa mara ya kwanza niweke na ka akiba ka vinywaji,namaanisha kwa nauli ya tsh 32 elfu ya bila vat,nasubiri majibu yenu ili nikaweke booking ya kuondoka mwezi wa 6 kuelekea mwanza,mwisho asanten fastjet kwa kufanya ndoto zetu za kupanda ndege kuwa kweli,naomba mungu aniwezeshe nifke huo mwezi wa sitaa
Bahati mbaya sana mzee mpaka kufikia mwezi wa sita Fastjet hawatakuwepo angani.Take it from me guys! I am deep inside the aviation industry!