Ndani ya dilemma

Hufanyi kosa! Labda kama kuna sababu zingine mbali na hiyo. Kama umempenda kweli muoe ya wajomba na mama wadogo waachie wenyewe. Wazazi wa huyo dada wamekukubali?!

Bado sijaenda upande wa pili,mwanzoni mwa mwezi wa pili
mipango ya kwenda itakua ime kamilika.
 
You must kidding right?
What is the problem here! Mjomba kazaa na mdogo wake, so what? Au unakumbuka maunao ya mzazi mwezio na unatafuta loop hole ya kutokea sio! What a waste!

Acha uzoba,soma kilicho andikwa na ujibu kitokana na
content ya habari.
 
Acha uzoba,soma kilicho andikwa na ujibu kitokana na
content ya habari.

Akili yako inafanana na huyo kwenye avatar yako! "mama mdogo wa huyo binti alizaa na mjomba wangu" hawakuoona! so what? Nilishakuambia bado unakumbuka mauno ya mzazi mwenzio? Mapenzi ya kweli hayaulizi maswalii trivial kama hilo!!
 
Akili yako inafanana na huyo kwenye avatar yako! "mama mdogo wa huyo binti alizaa na mjomba wangu" hawakuoona! so what? Nilishakuambia bado unakumbuka mauno ya mzazi mwenzio? Mapenzi ya kweli hayaulizi maswalii trivial kama hilo!!

Asante sana
 
hakuna anayeongea kisukuma akawa mwoga
utatoa 'ya badugu'

Sorry,sijui umeongea lugha gani.
Natumia kiswahili,kiingereza,kusukuma,kikurya,kuzanaki, kikabwa na
(kidoogo kijita).
ukiongea lugha hizo nitakuelewa sana.
 
Nadhani ninyi wapendanao mkae chini mlizungumzie vzr hili suala,lzm mkubaliane kuwa jamii ya hapo kijijini inajua a-z.lakini wahusishe wazazi wako kikamilifu pia nao upate maoni na ushauri wao,usikurupuke unaweza kujuta baadye mkuu
 
Usitafute sababu ya kumpiga chini dada wa watu.Mjomba wako kuzaa na anti yake haihusu kabisa
 
Aisee?
Kuzaa wazae wao, kuoana musioane nyie... Ingekuwa hivyo basi Wazanzibar wote wasingeoana!

Sio wazanzibari tu mkuu hata wapare, wahaya na wengine wengi tu. Kuna makabila mengine ukioa lazima baba yako azae mtoto mmoja na mke wako.
We muoe tu bana unless una ishu zako nyingine tu!
 
....Mie sioni tatizo hapo mkuu, usimpoteze huyo binti ambaye mmekuwa naye pamoja kwa miaka mingi sasa. Utakuja kujuta na kulia kilio cha mbwa mara tu utakapoamua kuachana naye. Kila la heri katika kufanya maamuzi yenye busara.



 
Last edited by a moderator:
Sorry,sijui umeongea lugha gani.
Natumia kiswahili,kiingereza,kusukuma,kikurya,kuzanaki, kikabwa na
(kidoogo kijita).
ukiongea lugha hizo nitakuelewa sana.

acha dharau mdogo 'angu.
Umekuja kutaka ushauri afu unaleta nyodo?
Afanalek!
 
acha dharau mdogo 'angu.
Umekuja kutaka ushauri afu unaleta nyodo?
Afanalek!

Haya kubwa,...
na mimi nimekuja kuomba ushauri kwa watu wenye akili
sikuja kutaka taarabu za wapuuzi hapa.

Good thing is,wenye akili na busara wanachangia
sawa sawa na busara zao,wapuuzi nao wanaonesha upuuzi wao so
kuchambua pumba na mchele sio kazi ngumu.
 
Usitafute sababu ya kumpiga chini dada wa watu.Mjomba wako kuzaa na anti yake haihusu kabisa

sijui kama umesoma vyema content au ume comment kutokana na comment ulizosoma.
paragraph ya 8 nimeandika

Binafsi naona kama ni tatizo/kizingiti kimeingia kati yetu.
Pamoja na hivo,nadhani kwendelea mbele ni rahisi kuliko kurudi nyuma baada ya kuona kizingiti hiki.

sijui kama kiswahili ni kigumu sana,but so far nilicho omba ni mtazamo wa wana MMU,...
 
Back
Top Bottom