Ndani ya cape town

Ukipada deals zozote za kukuingizia kipato kidogo hamia maeneo kama Sea Point,kuna flats za reasonable rates na ni mitaa poa.
Shukran mkuu
 
Nipo Durban hapa akikubali kuja hapo.. Nawakaribisha Sana huku, Nitafarijika nikiwaona. [emoji5][emoji5]
Shukran mkuu me popote kambi ilimradi mambo yaende kihalali
 
Kwani hakuna vitu vingine vya kupiga picha ambavyo vinasibitisha kua NI CAPE TOWN?hatutaki sura yako
 
Karibu sna kaka ukiwa lolote tufatutane...
 
Kwani hakuna vitu vingine vya kupiga picha ambavyo vinasibitisha kua NI CAPE TOWN?hatutaki sura yako

Umewahi fika Cape Town? Maana hata akikuwekea mengine hutaweza thibitisha kama hupajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…