Ndani ya cape town

mkuu umeshaenda MEETING POINT kula ugali tembele na dagaa
 
Bro... Naskia kwamba kama unazamia bila passport unaweza kumtoa conductor hela then yeye anamalizan na ma immigration officers pale.B-bridge then unasonga mbela shida.... Hivi kwenye guest umelala ?? Zile cheap in bei gan pay night???
 
Kwa anaepajua retreat bus station nadhani amenisomaView attachment 967019
Mkuu umenikumbusha mbali sana ukishuka chini kidogo pale kwenye ile shule kubwa ukakata kushoto unafika JMall hapo huwa kuna kazi jaribu kuongea na hao wanyarwanda hapo
Nimeishi kwenye hizo flat upande wa pili wa hapo parkstation kisha nikahamia Capricorn all the best maisha ni kutafuta usikate tamaa
 
Kikwete alisema ukiambiwa changanya na zako. Muhimu kila neno tunalosikia kujiongeza badala ya kulibeba kama lilivyo
 
Mkuu naomba kwa utaratibu kabisa nipe list ya vitu vya lazima ninavyotakiwa kuwa navyo nikitaka kufika south africa....nisaidie sana kuJua
 
Pamoja sana shukran sana kwa ushaur Wa faida,bado natafuta acha nikaze
 
haaaa babu aliwahi niambia hakuna urafiki kati ya mwanaume na mwanamke sawa na kutembelea muwa kama mkongojo jangwani lazma kiu ikikushika uunyonye
Siyo kweli Nina marafiki wa kike mpaka tumekuwa watu wazima hakuna la ajabu tumefanya tumefka hatua tunalala kitanda kimoja hakuna hata kutamaniana inategemea mmejenga urafiki kwa msingi gani!
 
Pamoja sana shukran sana kwa ushaur Wa faida,bado natafuta acha nikaze
Kaza haitachukua muda sana ila jiepushe na mahusiano hadi utakapokuwa mwenyeji usiende table mountain kwa mualiko labda uende mwenyewe tu kutembea B.bridge ni kweli ina ukaguzi mi nilikaguliwa pale nusu kivuliwa nguo labda walikuona sio tishio ndio maana ikawa rahisi ukaguzi hutegemea aliyepo siku hiyo maana nimeshapita sana hapo furahia pie za hapo ukipata mda piga picha apple street capricorn hapo palikuwa nyumbani
Milima inaipamba cape
 
Mkuu, ukaguzi unakuwa mkali sababu huna Passport ama shida ni nini? Just curious
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…