Ni jumatatu nyingine tena kikundi kimoja cha kidini (waislam),wamesababisha kutoweka kwa amani baada ya kuanzisha mgomo kwa lengo la (a)kudai kunyimwa kupatiwa eneo la kujenga msikiti shuleni (b)kukataa uongozi wa wanafunzi kwa kudai kutokuwa na usawa katika uongozi huo(idadi sawa ya waislam na wakristo)
, kwa style hii shule itageuka eneo la kuabudia..
FF, umezaliwa lini? Kama ni wa juzi (I hope so)jifunze. Ndanda Sec (kama ilivyokuwa Pugu sec) zilikuwa shule za Wakatoliki, hivyo sio ajabu kuwa na Kanisa shuleni. Unataka Serikali iloshindwa kujenga shule zenye kiwango kile imege maeneo ajili ya Masjid?
nashauri serikali itangaze shule hiyo kuwa ya kilimo halafu wale wadudu anaopenda bujibuji wafugwe, iwe ni zamu yaq kila mtu kuwahudimia. hii itakuwa ni njia ya kuwafundisha vijana kufikiria ujasiliamali na sio udini.
kilo moja ya mdudu ni zaidi ya kilo moja ya ng'ombe. 6,000tsh/kg kwa 4,000tsh/kg
Dalili zinaonyesha kuwa, wengi wa wachangiaji kwenye uzi huu ni watu waliogubikwa na udini!!! Hoja za msingi hapo ni kuwa wameomba 'eneo' tu na wala sio kujengewa. Wao watajenga wenyewe.Na kingine ni usawa kwenye uongozi, sasa hapo tatizo liko wapi?Waendeshe harambee ya ujenzi wa msikiti, wakati wenzao wanaendelea kusoma! Ila msikiti waujenge uraiani nje ya shule, kwani hata kanisa halipo kwenye eneo la shule. Gadaffi yuko wapi jamani?
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Hilo siyo tatizo, kwa sasa shule si ya kanisa na ina kanisa ndani kwanini na Waislaam wanapotaka kujenga mskiti wakataliwe?
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Kama wameomba si wasubiri majibu ya ombi lao? Mgomo na Maandamano ni maombi hayo?Serikali imelikuta Kanisa humo ilipotaifisha shule, na Serikali haina dini, sasa ikianza kugawa maeneo ya shule kujenga makanisa/misikiti si sawaDalili zinaonyesha kuwa, wengi wa wachangiaji kwenye uzi huu ni watu waliogubikwa na udini!!! Hoja za msingi hapo ni kuwa wameomba 'eneo' tu na wala sio kujengewa. Wao watajenga wenyewe.Na kingine ni usawa kwenye uongozi, sasa hapo tatizo liko wapi?
FF na wewe acha kuwa unakurupuka tu na kushabikia mambo hata usiyoyajua. Kuna watu hapo juu wameeleza vizuri kwamba vikundi vya wanafunzi vya kikristo Kama ukwata nk, huwa wanasali madarasani. Tycs (catholic) ndo pekee walio na kanisa, lakini kanisa Lao liko karibu na shule lakini HALIKO kwenye eneo la shule. Wao waislam ndo wamepewa jengo maalum kwa ajili ya shughuli zao za ibada. Usichoelewa hapo nini?
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Ni jumatatu nyingine tena kikundi kimoja cha kidini (waislam),wamesababisha kutoweka kwa amani baada ya kuanzisha mgomo kwa lengo la (a)kudai kunyimwa kupatiwa eneo la kujenga msikiti shuleni (b)kukataa uongozi wa wanafunzi kwa kudai kutokuwa na usawa katika uongozi huo(idadi sawa ya waislam na wakristo)
, kwa style hii shule itageuka eneo la kuabudia..
Jamani muambie Sheikh Issa Ponda asimsemee mkuu wa shule iyo kwa Al Shabaab, juzi alisema mnakahusiano flani ivi.Nisichoelewa ni kwanini wasiruhusiwe kujenga mskiti wao?
Kwa hiyo hapo Tatizo ni Kanisa lililojengwa na "wenye shule"! Kwa kuwa Azania, Jangwani, Zanaki na Tambaza Sekondari hazina makanisa ndani yake basi Waislamu hawana haja ya kujenga misikiti ndani ya shule hizo.
HIYO NI SPECIAL MISSION NI CHOKOCHOKO ZA UDINI NA WAMEKUWA BRAIN WASHED.
Ni kivutio kizuri sana cha utalii.nashauri serikali itangaze shule hiyo kuwa ya kilimo halafu wale wadudu anaopenda bujibuji wafugwe, iwe ni zamu yaq kila mtu kuwahudimia. hii itakuwa ni njia ya kuwafundisha vijana kufikiria ujasiliamali na sio udini.
kilo moja ya mdudu ni zaidi ya kilo moja ya ng'ombe. 6,000tsh/kg kwa 4,000tsh/kg
Kama kanisa limeruhusiwa kujengwa hapo shuleni na wao wanahaki ya kupewa nafasi ya kujenga mskiti. Kwanini kuwe na double standard? Kanisa wakubaliwe mskiti wakataliwe. Si haki, kama hapana ni wote na kama ndiyo ni wote.
Umeandika vema, eneo la shule si kubwa kivile, kwani ukiacha lile la mlimani na pale nyuma ya uwanja wa soccer kama unaelekea Ndoro, maeneo mengine yaliyobaki ni ya Chuo cha ufundi, kanisa (masista na bruda wa kibenedikitini)
Kama vipi wapewe eneo kule shambani Liputu wakajenge huko