ibesa mau
JF-Expert Member
- Sep 17, 2015
- 2,109
- 1,692
Huu ni uzembe kabisa, maafisa elimu msingi wamekuwa wakiwashurutisha wanafunzi wa darasa la tatu na sita kwenda shuleni wakati wa likizo ya desemba, huu ni uzembe . Siku za kwa mwaka mzima zipo 195 , mtoto anahitaji kupumzika ndio maana wakaweka likizo. Mtoto anahitajika kumsaidia mzazi kazi za kilimo ili ajifunze stadi za nyumbani.
Naomba tolea tamko suala hilo wilaya nyingi wanafunzi wa madarasa hayo wanasumbuliwa .
Naomba tolea tamko suala hilo wilaya nyingi wanafunzi wa madarasa hayo wanasumbuliwa .