Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 6,429
- 8,921
Wanasayansi tumegundua kwamba Ndala zilizotengenezwa na Plastiki zinasababisha upungufu na matokeo yake kuuwa kabisa nguvu za Kiume, hivyo Kama wewe ni Mwanaume TAFADHALI kuanzia leo usivae tena NDALA(malapa) zilizotengenezwa na Plastiki, tafuta ndala nyingine hasa za ngozi...
Sasa nimejua kwa nini Wanawake TZ wanalalamika sana kwamba Wanaume siku hizi hawasimamishi UUme Vizuri, na kila siku utasikia Mke wa Mtu kafumaniwa hapa kashikwa pale, sababu ndiyo hiyo, mnavaa sana Ndala za Plastiki!
SIYO Utani ni kweli KABISA Chukua Hatua...