Ndala (malapa) Zinauwa Nguvu za Kiume!

Ndala (malapa) Zinauwa Nguvu za Kiume!

labda kama huwa unachapiwanazo kwenye korodani lakn kwa kuzivaa mkuu hamuna!! -_-#
 
Wanasayansi tumegundua kwamba Ndala zilizotengenezwa na Plastiki zinasababisha upungufu na matokeo yake kuuwa kabisa nguvu za Kiume, hivyo Kama wewe ni Mwanaume TAFADHALI kuanzia leo usivae tena NDALA(malapa) zilizotengenezwa na Plastiki, tafuta ndala nyingine hasa za ngozi...

Sasa nimejua kwa nini Wanawake TZ wanalalamika sana kwamba Wanaume siku hizi hawasimamishi UUme Vizuri, na kila siku utasikia Mke wa Mtu kafumaniwa hapa kashikwa pale, sababu ndiyo hiyo, mnavaa sana Ndala za Plastiki!


SIYO Utani ni kweli KABISA Chukua Hatua...

​

Huu wazim huu,wewe baba yako alivaa viatu gani,Mbona mama yako anafurahia tu.
Wewe sema tu unataka usaidiwe ushauri,maana umechomekea mada kitoto kweli.

 
wapi source ww ndala ?
alafu mbona kila kitu kiwe kinamaliza nguvu za kiume ? sasa mpaka ndala ebuu tuondokee mbali
 
ndio matokeo ya kunywa hiki kinywaji alafu unakurupuka kuja humu jamvini..

kir0ba.jpg
 
Umenikumbusha teja mmoja aliyeogeshwa kwa nguvu baada ya kutooga karibu mwaka alipoulizwa kwanini haogi akadai kuwa kuoga kunapunguza hiyo makitu lol!
 
Back
Top Bottom