Ndaga, Malafyale Magufuli

Ndaga, Malafyale Magufuli

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,409
Reaction score
14,116
Nimewiwa kumpongeza sana Malafyale Rais, Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kukata kiu ya muda mrefu sana, ya ujenzi wa barabara za Katumba~Masebe~Lwangwa~Mbambo~Masoko~Tukuyu.

Nimepigiwa simu sasa hivi na mdogo wangu aliyeko Busokelo, akiwa amechanganyikiwa kwa furaha, kuwa ni Rais Magufuli aliye weka jiwe la msingi kufungua ujenzi wa barabara hiyo.
Hii imemtia simanzi kwa furaha.

Tukumbuke kuwa maraisi toka Mwinyi, Mkapa, Kikwete wote waliahidi kujenga barabara hizo lakini hawakuweza kutekeleza.

Hivyo kwa kutekeleza yale yeye mwenyewe alivyo ahidi, pamoja na ahadi za waliomtangulia, nasema Ndaga fijo na ubarikiwe sana Malafyale Dr John Pombe Joseph Magufuli.
 
Mungu ambariki Mh Rais JPM...ni jambo zuri sana
Licha ya maneno maneno mengi, ati Magufuli hakanyagi Mbeya, na aidha Mbeya wanamchukia, ilikuwa uongo mtupu.

Waliokuwa na nia mbaya wameumbuka, Magufuli amefanya ziara yenye mafanikio na amepokewa na wananchi wengi sana haijapata kuonekana Mbeya.
 
Ni kweli pongezi za pekee kwa Rais Magufuli.
Nami najiuliza nini kiliwashinda Marais Mwinyi, Mkapa na Kikwete?

Wana JF(CHADEMA) kimya chenu
kimewaumbua!

cc Ndikwega, Mzito Kabwela, Ileje, Green City,Une Joune, Utukufu Mwanjisi, Mwakibingatky......
 
Kila Jambo na wakati wake si Kila yanayofanyika sasa yameanza Sasa michakato ya barabara inachukua muda mrefu kwani hata mabasi ya mwendo Kasi licha ya kuanza kazi awamu hii michakato ilianza tangu enzi ya Mwinyi
 
Mkuu hizo hadithi tumezisikia kwa miaka 30 toka enzi za Mwinyi.
Magufuli katuokoa na kututoa soni, siyo siri.
 
Aisee leo nina furaha ya milele naamini nitalala vizur sana kwa kitendo alichokifanya mkuu wa nchi leo Pia 2020 tumpe kura nyingi ili tumshawishi atupigie njia ya ikuti kutuunganisha na ileje
Mkuu mdogo wangu alivonipigia simu toka Busokelo, furaha yake niliisikia akitaka kulia kwa shukrani.
Tumeteseka sana kwa barabara hizi za kwenda milimani, asante Magufuli.
 
Nimewiwa kumpongeza sana Malafyale Rais, Dr John Pombe Joseph Magufuli kwa kukata kiu ya muda mrefu sana, ya ujenzi wa barabara za Katumba~Masebe~Lwangwa~Mbambo~Masoko~Tukuyu.

Nimepigiwa simu sasa hivi na mdogo wangu aliyeko Busokelo, akiwa amechanganyikiwa kwa furaha, kuwa ni Rais Magufuli aliye weka jiwe la msingi kufungua ujenzi wa barabara hiyo.
Hii imemtia simanzi kwa furaha.

Tukumbuke kuwa maraisi toka Mwinyi, Mkapa, Kikwete wote waliahidi kujenga barabara hizo lakini hawakuweza kutekeleza.

Hivyo kwa kutekeleza yale yeye mwenyewe alivyo ahidi, pamoja na ahadi za waliomtangulia, nasema Ndaga fijo na ubarikiwe sana Malafyale Dr John Pombe Joseph Magufuli.
Hao marais uliowataja wasingeweza kutekeleza kwa sababu kulikuwa na mambo yaliyokuwa ya msingi ya kipaumbele walikuwa wanayatekeleza
 
Hao marais uliowataja wasingeweza kutekeleza kwa sababu kulikuwa na mambo yaliyokuwa ya msingi ya kipaumbele walikuwa wanayatekeleza
Unapo ahidi wananchi, ustaarabu ni kutekeleza.
Pamoja na kuahidi kila kampeni ya urais kama ilani ya chama, sina kumbukumbu marais wetu ingakao kufika huko makwetu.

Magufuli aliahidi, sasa anatekeleza.
Ndaga Magufuli.
 
Back
Top Bottom