Nchimbi kupata PhD

Watanzania kwa kupenda title za uchwara....Ukiotoa Mzumbe hivyo vyuo vya mheshimiwa Nchimbi ni vya online, tena haviko accredited!! Newt Gangrich ni kichwa (PhD), lakini hata siku moja hujasikia sijui DR/PROF./ENGINEER. NEWT GINGRICH

Wengine wanatamani hata kuitwa Professor sema inakuwa shida kuandika hayo mapapers na vitabu.
 
  • Thanks
Reactions: Nzi
Walau huyu bwana ameonesha umakini kwa kupambana na kubeba U-daktari wa Falsafa wa ukweli hapa hapa bongo baada ya kukosea "mlango wa choo" katika attempt ya kwanza. Sielewi sana huu upondaji wa Mzumbe unaanzia wapi, ikumbukwe kwamba Thesis ya PhD hupelekwa kwa External Examiner aliyebobea na inaporudi candidate lazima afaulu "Viva Voce" examination.

Anastahili Hongera bila kujali hayo meengi yanayosemwa.

Mleta mada anadai PhD yake inahusu "uhusiano wa umasikini na mikopo midogo midogo katika mazingira ya wajasiliamali wa Tanzania wanaoukutana na vikwazo kadha wa kadha"na kuwa "paper yake ilipelekwa na kusahihishwa taasisi ya Development Studies ya UDSM."

Nilidhani hii ni paper ya kiuchumi zaidi so ipelekwe kwa external examiner wa School of Economics? For curiosity, hata kama paper haijakaa kiuchumi, position yake ya sasa haiwezi kuleta influence kwa external marker wa hapa hapa Dar kumpitisha? Anyway, will he now drop those unaccredited qualifications from his CV now? Au ndio muda wa kutesa kuwa ana Masters mbili na P.hD mbili tena fani tofauti?
 
-Anapaswa kuachana na Degree zisizotambulika, ni makosa na si uungwana kuendelea kujitambulisha kwazo.

-Sina uhakika na Title na Objectives za Research yake hivyo sina comments kuhusu huko ilikopelekwa kwa examination.

-Kwenye PhD level hakuna uchakachuaji.
 
Kwa kweli nampongeza mdogo wangu kwa mafaninikio haya. Huwezi kuita PhD ya Mzumbe et ni fake, ukifanya hivyo basi sisi wote tuna degree fake maana tumezipata kwenye vyuo vyetu ambavyo vinakuwa regulated na TCU. Naombe tujifunze kutambua achievement ya mtu hata kama hatumpendi. Kuhusu suala la walimu nadhani hatua ziliisha chukuliwa kwa kuwavua udaktari, mfano: Honest Prosper Ngowi wa uchumi, zamani alijiita Dk. Honest P. Ngowi hata makala kwenye magazeti naona siku hizi haandiki tena.
 
Waziri wa Habari,Utamaduni na Michezo Dr.Emmanuel Nchimbi Kesho atakuwa mmoja wa wahutimu 7 wa PhD,Watakao Tunukiwa Shahada ya Uzamivu ya Chuo Kikuu Mzumbe Campus ya Kuu Morogoro kesho Ijumaa 2/12/2011 kwenye mahafali yao!
Kweli waziri ametuonesha njia ya kuwa elimu haina mwisho na Kuwa na PhD moja si Kulala usingizi!
Mie Mkweche nampongeza Dr Nchimbi!
 
Hiyo PhD ni ile ya Honoria au ni ya kuipiga book? Mzumbe inaongoza kwa kuwa na DR wenye PhD feki
 
Labda anapewa ya pili. Labda amekuja kunote kuwa Ph.D yake ya kwanza was from unaccredited entity, i.e CommonWealth Open University (tofautisha na Commonwealth Institute) na ingekuja kumsumbua wakati wa kugombea Urais. Hata Wikipedia wamelist hiki chuo kama unacredited (List of unaccredited institutions of higher education - Wikipedia, the free encyclopedia). Lakini Waziri wetu alipiga shule ya Masters na Ph.D hapo.

CommonWealth Open UniversityPhD (Management)20012003PHD
CommonWealth Open UniversityMSc. (Management)19992001MASTERS DEGREE
Mzumbe UniversityMBA (Finance & Banking)20012003MASTERS DEGREE
Institute of Development Management - MzumbeAdvanced Diploma in Administration19941997ADV DIPLOMA

And last year, the Tanzania Commission for Universities (TCU) informed that they have no legal right to punish or have the authority to force people to get their educational documents verified. The Senior Public Relations Officer, Mr Edward Mkaku said “The law that governs us (TCU) do not allow us to forcefully make someone produce certificates for verification; we have to wait for either the employer or the person to bring them to us.”

The report mentioned the institutions which issued the doubtful qualifications to include the Washington International University based in Hawaii, Commonwealth Open University (where Dr Nchimbi claims to have studies his masters and Ph.D)based in Caicos Virgin Island, Free States University, Ambala University in India and Almeda University, USA.

Kaazi kwelikweli.

Ina maana kipindi kimoja alikuwa anafanya Masters na PHD sehemu mbili tofauti?

Angalia
CommonWealth Open UniversityPhD (Management)20012003PHD
Mzumbe UniversityMBA (Finance & Banking)20012003MASTERS DEGREE
Au inakuwaje hapa?
 
Alipiga Executive Programme ya MBA na akasoma PhD online.
 
Labda anapewa ya pili. Labda amekuja kunote kuwa Ph.D yake ya kwanza was from unaccredited entity, i.e CommonWealth Open University (tofautisha na Commonwealth Institute) na ingekuja kumsumbua wakati wa kugombea Urais. Hata Wikipedia wamelist hiki chuo kama unacredited (List of unaccredited institutions of higher education - Wikipedia, the free encyclopedia). Lakini Waziri wetu alipiga shule ya Masters na Ph.D hapo.

CommonWealth Open UniversityPhD (Management)20012003PHD
CommonWealth Open UniversityMSc. (Management)19992001MASTERS DEGREE
Mzumbe UniversityMBA (Finance & Banking)20012003MASTERS DEGREE
Institute of Development Management - MzumbeAdvanced Diploma in Administration19941997ADV DIPLOMA

And last year, the Tanzania Commission for Universities (TCU) informed that they have no legal right to punish or have the authority to force people to get their educational documents verified. The Senior Public Relations Officer, Mr Edward Mkaku said “The law that governs us (TCU) do not allow us to forcefully make someone produce certificates for verification; we have to wait for either the employer or the person to bring them to us.”

The report mentioned the institutions which issued the doubtful qualifications to include the Washington International University based in Hawaii, Commonwealth Open University (where Dr Nchimbi claims to have studies his masters and Ph.D)based in Caicos Virgin Island, Free States University, Ambala University in India and Almeda University, USA.

Kaazi kwelikweli.

Inajieleza vizuri hii, yani wakati anasoma MBA yake pale MZUMBE (2001 - 2003) alikuwa anafanya online PhDE yake ya Commonwealthy Open University. Nafikiri sana kunahaja ya TCU kuchukua hatua madhubuti katika kuhakiki uhalali wa taaluma za watumishi wote serikalini. Ndiyo maana serikali yetu haina ufanisi, maana watu wanapewa nafasi za utumishi kulingana na elimu zisizo tambulika hivyo kushindwa kuwajibika ipasavyo. Inasikitisha sana hata baada ya Msemakweli kuandika kitabu chake (Mafisadi wa elimu) na kuwataja baadhi ya viongozi, hatujaona hatua yoyote iliyochukuliwa naserikali. Hii inaonyesha ni jinsi gani serikali yetu isivyojali elimu.
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Wana JF,

Kwa mujibu wa habari tulizopata muda huu, ni kuwa hatimaye Mh. Emmanuel Nchimbi amefanikiwa kumaliza PHD yake aliyoianza mwaka 2004.
Katika PHD hiyo ambayo alikuwa akifanya utafiti wa uhusiano wa umasikini na mikopo midogo midogo katika mazingira ya wajasiliamali wa Tanzania wanaoukutana na vikwazo kadha wa kadha kama vile umeme, kushuka kwa thamani ya shilling, mzunguko mdogo wa hela na nguvu ya soko ya nje wanavyoweza kutoka kwenye lindi hioli la umasikini.

PHD paper yake ilipelekwa na kusahihishwa taasisi ya Development Studies ya UDSM kama external na walimpa alama ya A nilivyoambiwa.

Nakaribisha maoni yenu kama ifuatavyo: -
1. Mzumbe haina status,
2. Kaandikiwa ni kilaza,
3. Anajisafisha baada ya kuona anaandamwa,
4. Tuletewe tuipitie hapo jamvini (anaedai tena ni std 7),
5. Hatuitambui kabisa,
6. Huu ni uzushi,
7. Hata masters hana mbona,
8. Ni ya kisiasa hiyo,
9. Mimi hata sisomi hii thread
11. Huyu alietuma ni mpuuzi, mjinga, analeta utoto hapa,
12. Nae anataka urais,
13. Kumbe ni rahisi sana,
14. Tupe source ya taarifa,
15. Lini alipata muda wa kufanya huo utafiti,
16. Kapendelewa na walimu wa mzumbe na udsm pia
17. Nimeambiwa utafiti wenyewe ni shallow sana,
18. Mwalimu mmoja wa mzumbe kaniambia kuwa wameamua kumwachia tu,
19. Shule za bongo ni za ajabu kweli hivi mzumbe wanaweza kutoa PHD kweli,Mzumbe walimu wote wana PHD fake likewise na wanafunzi pia,
20. Nampongeza kama ni kweli.

Graduation itakuwa mwanzoni mwa December. Kama una maoni yafananayo na naapo juu yani namba 1-20 , changia kwa kuweka namba inayowiana namchango wako tu inatosha kama ni tofauti basi karibu.

Utakuwa na matatizo ya akili kabisa kusema kwamba Mzumbe haina status nadhani hujui historia ya Mzumbe University ilikotoka kwa taarifa yako inatambulika kimataifa.Pia watu kama nyinyi ndio kikwazo kikubwa cha maendeleo ya nchi yetu hebu jenga tabia ya kupenda vya nyumbani.
 
Aliitwa dokta kwakuwa alipata phd ishu ni kuwa chuo alichopatia hakitambuliki duniani na si yeye tu walikuwa wengi waliotoswa na wengi hadi leo bado wanasotea phd bado hawajapata hd ss!!
 
Kwa heshima na taadhima tutajie mwalimu mmoa tu mwenye phd fake wa mzumbe university hata mmoja

Huna habari kuna waalimu wengi tu pale walivuliwa udakitari wao na uprofesa. Kwasasa hakuna, ila waliovuliwa walikuwa wengi wa kutosha. Tena wengine walikuwa wameshika nyadhifa za juu hapo chuoni.
 
tatizo ni moja aling'ang'ania na kulazimisha aitwe DR long time wakati alikua hana status hiyo....
 
Back
Top Bottom