Tutajia mmojaAkihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga madawati yao ikimaanisha kuwa wanaunga mkono. Kwangu mimi nimejiuliza:
1. Waziri Nchimbi na hao wabunge waliolalamika kuhusu Big Brother walikijuaje? Ina maana wamekuwa wanakiangalia siyo?
2. Mambo mengi yaliyo kwenye big brother yana tofauti gani na mambo tunayoona huku mitaani hususani watoto wa vigogo?
Tutajia mmoja

Akihitimisha hoja za bajeti ya Wizara yake 12/08/11 Dr. Nchimbi amesema kuwa kipindi cha Big Brother ni kero na serikali haikuingi mkono. Wakati akisema hayo wabunge wengi walionekana kupiga madawati yao ikimaanisha kuwa wanaunga mkono. Kwangu mimi nimejiuliza:

1. Waziri Nchimbi na hao wabunge waliolalamika kuhusu Big Brother walikijuaje? Ina maana wamekuwa wanakiangalia siyo?

2. Mambo mengi yaliyo kwenye big brother yana tofauti gani na mambo tunayoona huku mitaani hususani watoto wa vigogo?

Nikweli haina faida badala yake inafundisha ulevi na uzinzi. Waziri Nchimbi itabidi azuie kipindi hicho kuoneshwa kwenye local chanels.
Nikweli haina faida badala yake inafundisha ulevi na uzinzi. Waziri Nchimbi itabidi azuie kipindi hicho kuoneshwa kwenye local chanels.
Mambo ya Big Brother na Mambo ya U - Miss ni kupotezeana muda na rasilimali!
Kwani mtu analizimishwa kukiangalia? Its the matter of choice!
Rich alivyorudi na USD 200,000, mbona kila mtu alimpongeza! Kwa hili napingana na serikali yangu kwa 100%