Nchimbi adanganya bunge kuhusu Mtwara

Nchimbi adanganya bunge kuhusu Mtwara

mkuu huoni aibu kusema uongo mbona nchimbi kasema wamekufa 5 askari 4 na raia 1

Hata mimi ndio nivyosikia, ajabu kuna watu wanakurupuka tu bila kujua ukweli. Katika vulugu kama hizi vyombo vya habari haviwezi kuripoti habari ambazo hazija thibitishwa na hata kama watatangaza watasema bado hazijathibitishwa, hivyo ITV wasingetoa taarifa ambayo itapingana na Waziri.
 
kama hujui kilichotokea utasemaje kadanganya. hatuwezi kuwaruhusu wahuni kama wewe mvuruge nchi yetu kwa uchochezi usio na maana. somalia wanapata faida gani? kongo wanapata faida gani? burundi walipata nini. tunataka fikra za kugeuza uchumi wetu twende mbele sio kuwasikiliza wavurugaji turudi nyuma

Nina imani wewe 10% haukupata ila huko kwenye list ya book 7. Hivi hauoni statement za kujikanganya hapa? Na kwa taarifa yako wachochezi ni hao waliochukua 10% na kukimbilia kuanza kuchimba gesi bila kuwashirkisha kwanza wananchi wa Mtwara!!!!! Sasa unatupa mfano wa Kongo na Somalia, unajua hiyo vita ilianzaje huko? Chanzo ni ulafi wa watu wachache kama tunavyofanya sasa hapa kwetu!!!!

Tiba
 
Kazoea hebu huko Bungeni jamani muulizeni ni kwa nini anawadanganya watanzania wakati juzi tu wanasema waandishi waseme ukweli. Je huu ndo ukweli?!
 
serikali ya ccm ni sawa na mlevi anaekimbia kivul;i chake kwa maana ya kuukimbia ukweli lengo ikiwa na kuhakakisha huu upepo upite kwa haraka bila madhara zaidi
 
kama hujui kilichotokea utasemaje kadanganya. hatuwezi kuwaruhusu wahuni kama wewe mvuruge nchi yetu kwa uchochezi usio na maana. somalia wanapata faida gani? kongo wanapata faida gani? burundi walipata nini. tunataka fikra za kugeuza uchumi wetu twende mbele sio kuwasikiliza wavurugaji turudi nyuma
kama waziri mwenye zamani hujui kilichotokea kwanini utoe taarifa ambayo huna uhakika nayo,je wewe km raia mzalendo unakubaliana kauli ya wazir Nchimbi?au aliyeshiba hamjui mwenye njaa. Sina maslahi binafsi!
 
Ok!kazi ndo kwanza inaanza!tusubiri tuone nini kinafuata.
 
wewe akili yako inamatatizo tumwamini nani vyombo vya habari vimetangaza na tumeona kwenye ITV inamaana walikuwa wanadanganya? wewe ndiye mhuni na na usiwe mtumwa wa mawazo ndugu yangu hakika mifano unayoitoa haina faida yoyote kama unajificha hapo kwenye ujinga kama huo subiri mtandanganya mpaka lini?

Msamehe bure, anatimiza post akasaini Tshs 7,000 Lumumba kwa kila post za kusapoti serekale.
 
yaani angejiuzuliu huyu mtu na hiyo nafasi nikapewa mm naona kaishindwa kazi huyo mwambieni aachie ngazi niingie hapo
Jamani walioko mtwara tunaomba mtupe ukweli maana Emmanuel Nchimbi kakanusha kuwa hakuna mtu aliyekufa Mtwara kuna majeruhi wa 2 na waliokamatwa na polisi 91 na kuna JWTZ walikuwa wameombwa kwenda kusaidia walipinduka 20 walijeruhiwa, 4 walikuwa na jumla yao ilikuwa 30. Je, nani mkweli jamani
 
kama hujui kilichotokea utasemaje kadanganya. hatuwezi kuwaruhusu wahuni kama wewe mvuruge nchi yetu kwa uchochezi usio na maana. somalia wanapata faida gani? kongo wanapata faida gani? burundi walipata nini. tunataka fikra za kugeuza uchumi wetu twende mbele sio kuwasikiliza wavurugaji turudi nyuma

Kama leo hii mnatuona wanaMtwara ni kundi la wahuni sawa..., majibu yamtazamo wenu kuhusu Mtwara mtayapata 2015.
 
NI vigumu kutoa lawana za moja kwa moja kwa kila kundi husika, hapa cha muhimu ni kutumia busara kubwa kutatu tatizo hili!
 
Ukiona wakuu wa serikali moja wanapishana katika taarifa ya tukio moja basi ujui kuna balaa kubwa limefichwa.
 
NI vigumu kutoa lawana za moja kwa moja kwa kila kundi husika, hapa cha muhimu ni kutumia busara kubwa kutatu tatizo hili!

tatizo lipo ila tunasema hoja hapa sio kuanza kuwaambia watu kazeni buti, huyu msimsikilize au kuendelea kuwachochea hapa tutoe fikra mbadala kuwa hivi tatizo la mtwara kwa nini serikali isipeleke huo mradi wa kuzalisha umeme mtwara na kuwaambia wananchi tulieni serikali itafakari.kuhusu bomba la gesi huo ni mradi ambao haukwepeki tena ikiwezekana kila kanda wapelekewe bomba ili viwanda, magari na majumbani watumie gesi hii. badala ya fedha yetu kwenda kwa warabu kuwatajirisha na mafuta hiyo hela ibaki hapahapa nchini itoe ajira
 
Kama leo hii mnatuona wanaMtwara ni kundi la wahuni sawa..., majibu yamtazamo wenu kuhusu Mtwara mtayapata 2015.

Yeyote anayechochea vurugu ni mhuni, wastaarabu walioko pembeni huwatuliza wenye hasira na kuwaambia walioko madarakani hapa mmekosea kwa nini msingefanya hivi na wao wakatafakari.
 
uzuri ni kwamba,walioko bungeni wote wanajua kadanganya na wananchi wa kawaida pia tunajua hilo!so serikali inazidi kujipalia makaa
 
Na mie ndiyo nilivyosikia kuwa mtu mmoja amefariki na askari wa JWTZ 4 wamepoteza maisha katika ajali.nadhani mleta thread na yeye ni mchochezi anayetafutwa.

Hata mimi ndicho milichosikia. Akaongeza kuwa damu ya askari hao haitapotea bure.
 
Hata mimi ndicho milichosikia. Akaongeza kuwa damu ya askari hao haitapotea bure.
ni kweli, si unaona huko mtwara askari jinsi wanavyopora mali za wananchi na kujeruhi wananchi? Nchimbi kwa matendo na mwonekano hakufaa kuwa hata mwenyekiti wa kijiji. Ni mfumo tu wa kubebana kwenye ccm!
 
Jamani walioko mtwara tunaomba mtupe ukweli maana Emmanuel Nchimbi kakanusha kuwa hakuna mtu aliyekufa Mtwara kuna majeruhi wa 2 na waliokamatwa na polisi 91 na kuna JWTZ walikuwa wameombwa kwenda kusaidia walipinduka 20 walijeruhiwa, 4 walikuwa na jumla yao ilikuwa 30. Je, nani mkweli jamani

Mods toeni thread hii inachochea wananchi
 
Back
Top Bottom