Nchiii iliyo barikiwaaa onaaaa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nchiii iliyo barikiwaaa onaaaa....

Discussion in 'Jamii Photos' started by B'REAL, Sep 7, 2011.

 1. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #1
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  IMG_3972.JPG IMG_3989.JPG IMG_3994.JPG hiii ni pride ya simbaa.

  IMG_3719.JPG IMG_3724.JPG IMG_3922.JPG

  migration
  IMG_3869.JPG IMG_3912.JPG IMG_3883.JPG
  IMG_3577.JPG hawa ni big 5,ilaa kifaru wamekuwaa adimu sanaa,ndo maana sijamuwekaa.picha hizi nilipigaa mbugaa mbali mbali,manyara,serengeti.ngorongoro na tarangire.nchii hii imebarikiwaa jamani
   

  Attached Files:

 2. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #2
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,343
  Likes Received: 1,810
  Trophy Points: 280
  Hii wapi mkuu?
   
 3. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #3
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Watazidi kuleta hii kitu kuwasomba kupitia KIA bila jeshi wala wizara ya utalii kudhibiti hili; f-15-taxi-cockpit_~k0361364.jpg
   
 4. Gama

  Gama JF-Expert Member

  #4
  Sep 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 9,228
  Likes Received: 1,414
  Trophy Points: 280
  Nice pic anyway
  <br />
  <br />
   
 5. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #5
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  unanunuaa swalaa unapewaa twigaa na simbaa Nyongezaa.unajua bi mkora kitu gani?KIA kidogo ngumu..kunaa hawa warabu wa loliondo majamaa wanaa chukuaa wanyamaa mpakaa basiii.wanavibalii halalii vya kuwindaa na aruhusiwi mtu kuingia eneo lao,wanakiwanjaa cha ndege binafsi
   
 6. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #6
  Sep 7, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  hii mbugaa tofautii,manyara,ngorongoro creater,serengeti na tarangire.
   
 7. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #7
  Sep 7, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,973
  Likes Received: 2,967
  Trophy Points: 280
  Hakika siku ya mwisho mungu atatuuliza. Tumejaaliwa maliasili ya kutosha, tumekosa utashi wa kuzitumia.
   
 8. lutamyo

  lutamyo JF-Expert Member

  #8
  Sep 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 45
  Ni kweli mkuu nchi yetu ya Tanganyika ni barikiwa ila tunao viongozi wanaotumia masaburi kufikili ndiyo maana inatia huruma kuona utajiri wetu unatumika kuitajirisha Kenya kwa kisingizio cha Jumumia hawa jamaa wanajenga kiwanja cha ndege Taveta huko alafu sisi tunabakia kujivua gamba, huku watendaji wavivu wa wizara wakiuza utajili wetu kwa waarabu hii mbaya sana.
   
 9. bi mkora

  bi mkora JF-Expert Member

  #9
  Sep 7, 2011
  Joined: Jun 1, 2011
  Messages: 262
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  B'Real kama ndo ivi inabidi nikanunue kware ili nipewe nyongeza ya mbuni na tausi. hahaha kazi kwelikweli.
   
 10. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #10
  Sep 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  duuuh...................yaaani wazungu wanabeba kiulaiiini
   
 11. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #11
  Sep 8, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  we acha tu kwenye miti hapana wajenzi..
   
 12. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #12
  Sep 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  asante ...
  usikute zaidi ya 50% ya wa TZ hawajawahi ona
  hivi vitu vizuri vituzungukavyo ...
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  Sep 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,953
  Likes Received: 1,509
  Trophy Points: 280
  mh nimependeza na hizi suti zangu za mtoni bana
   
 14. Mnyampaa

  Mnyampaa JF-Expert Member

  #14
  Sep 8, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 245
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haya madude yakijakugundua kuwa hatuyatumii ipasavyo na kwamba tunayauza hovyo bila ya ridhaa yao patachimbika. Najaribu kuimagine yakijiorganize na kutufuata huku town kudai haki zao sijui tutakimbilia wapi?
   
 15. B'REAL

  B'REAL JF-Expert Member

  #15
  Sep 8, 2011
  Joined: Oct 20, 2010
  Messages: 3,108
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 160
  ni kweliii afro...kunaa siku nilikuwa na wageni flani,katikaa mahojiano na mtu wenye tour operoter mjini,akaulizwaaa ushawaii kupandaa mlimaa kilimanjaro?jamaa akasema hajawai,na kampuni yake ina miaka kumii na tatu sawaa inadeal na kupandishaa wageni mlimani,wageni walishangaa sanaaa,yeyee ametokaa mbalii na kasave labda kwa miaka mitano kujaa kupanda kilimanjaro alafu mwenyejii anae wasafirisha hajawaii.{shame} tuache hayo hapaa tulipo kunaa wengi sanaa hawazijui mbugaa zetu,ipi ni national park ipi na game reserve.watanzaniaa tufanyee utalii wa ndani sisi wenyeweee sio mpalaa mtalii akupe ofaaa
   
 16. Kumbakumba

  Kumbakumba JF-Expert Member

  #16
  Sep 8, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 222
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwindaji wa tembo umeshamiri nje ya hifadhi za taifa..hifadhi hazina bajeti za kutosha wala vifaa vya kutosha kudhibiti. Baadhi ya maeneo mkoa wa manyara,hasa manyara corridor which connects Tarangire, manyara NP and Ngorogoro CA hali ni tete
   
Loading...