Nchi zinazoongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Afrika

Uswiss

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
842
2,160
Nchi zinaongoza kwa Uhuru wa vyombo vya habari barani Africa.

Source: world press freedom index. Year. 2020.

1. Namibia
2. Cape varde
3. Ghana
4. South Africa
5. Burkina Faso
6. Botswana
7. Senegal
8. Madagascar
9. Mauritius
10. Niger
11. Seychelles
12. Cote D' ivore
13. Malawi
14. Tunisia.

Tanzania haipo hata top 15 sijui wametuchukuliaje hawa watu.

Pia nchi zinazo ongoza kwa kua na Amani barani Africa.

1. Mauritius 2. Botswana 3. Ghana 4.Zambia 5. Sierra Leone 6. Senegal 7.Tanzania 8. Namibia 9. Malawi
 
Back
Top Bottom