Nchi zenye Dhahabu nyingi zaidi duniani

Nchi zenye Dhahabu nyingi zaidi duniani

IAfrika

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2014
Posts
280
Reaction score
222
Nchi zilizo na akiba mingi ya dhahabu

1 United States - 8,133.46 T
2 Germany - 3,363.60 T
3 IMF -. 2,814.04 T
4 Italy - 2,451.84 T
5 France -. 2,436.01 T
6 Russian Federation - 2,299.87 T
7 China - 1,948.31 T
8 Switzerland - 1,040.00 T
9 Japan -. 765.22 T
10 India - 657.67 T
11 Netherlands - 612.45 T
12 Turkey - 583.00 T
13 ECB. - 504.77 T
14 Taiwan - 422.69 T
15 Portugal - 382.54 T
16 Kazakhstan - 378.48 T
17 Uzbekistan - 342.76 T
18 Saudi Arabia - 323.07 T
19 United Kingdom - 310.29 T
20 Lebanon - 286.83 T

gold.jpg
 
Hivi, kazi ya dhahabu ni gani
Mala zote ukiwauliza watu hua wana blaa blaa mingi sana kuhusu kazi ya dhahabu au almasi, mala ooh inatengenezea siraha, mala ooh kwenye ndege kuna madini wanayotumia, watu hawa wote hua hawana uhakika na kinachojulikana kazi kubwa ya dhahabu ni vidani tu vya kuvaa vaa hivi ambavyo siamini kama vinaweza kurudisha gharama ya uchimbaji ambayo hua ni kubwa nasa,

Yamkini kuna siri zao zilizo jificha au ni kitu tu cha thamani kinachokaa kwenye mabenki na ghala za kuhifadhi thamani ya muhusika anazo miliki, labda
 
Mimi nadhani kuna matumizi ya ziada maana hata kwenye bibilia dhahabu imetajwa ni kitu chenye thamani kubwa japo haujafikia maisha ya peponi yaani ufalme wa mbinguni.
 
Mala zote ukiwauliza watu hua wana blaa blaa mingi sana kuhusu kazi ya dhahabu au almasi, mala ooh inatengenezea siraha, mala ooh kwenye ndege kuna madini wanayotumia, watu hawa wote hua hawana uhakika na kinachojulikana kazi kubwa ya dhahabu ni vidani tu vya kuvaa vaa hivi ambavyo siamini kama vinaweza kurudisha gharama ya uchimbaji ambayo hua ni kubwa nasa,

Yamkini kuna siri zao zilizo jificha au ni kitu tu cha thamani kinachokaa kwenye mabenki na ghala za kuhifadhi thamani ya muhusika anazo miliki, labda
Dhahabu ina thamani ya kihistoria na imekuwa juu kwa sababu, kwa miaka mingi sana imetumika kama "store of value" na watu wamejaribu kuitengeneneza kwenye lab wakashindwa. Hivyo pure gold ina a measure of authenticity. You just can't fake it, as in create it in a lab.

Ukisoma historia ya Chemistry, enzi za Alchemy, watu walijaribu kila njia kutengeneza dhahabu wakashindwa.

Na hii inatokana nabsababu kubwa mbili. Kwanza, dhahabu hai react na vitu vingine. Pili, namna pekee ya kuitengeneza dhahabu ni kutumia nuclear reactions zenye nishati kubwa sana kiasi gharama za kuitengeneza hiyo dhahabu zitaizidi thamani ya dhahabu itakayotengenezwa. Hivyo hiyo itakuwa biashara kichaa. Dhahabu tuliyonayo ilitengenezwa katika nuclear reactions katika nyota mbalimbali ambazo ziliishia katika kupasuka kwenye supernovae.

Tabia hizi mbili za dhahabu za kuto react na vitu vingine (ukilinganisha na kitu kama chuma kinacho oxidize na kupata kutu), pamoja na kutoweza kutengenezeka kwenye lab, pamoja na thamani ya kihistoria kama "store of value" (kihistoria fedha zilihesabiwa kwa dhahabu na chumi nyingi za dunia zilitumia "the gold standard" mpaka karne iliyopita.

Kuna mengi mengine ambayo yanahusika, lakini kwa uchache kabisa hayo ni ya muhimu.
 
Dhahabu ina thamani ya kihistoria na imekuwa juu kwa sababu, kwa miaka mingi sana imetumika kama "store of value" na watu wamejaribu kuitengeneneza kwenye lab wakashindwa. Hivyo pure gold ina a measure of authenticity. You just can't fake it.

Ukisoma historia ya Chemistry, enzi za Alchemy, watu walijaribu kila njia kutengeneza dhahabu wakashindwa.

Na hii inatokana nabsababu kubwa mbili. Kwanza, dhahabu hai react na vitu vingine. Pili, namna pekee ya kuitengeneza dhahabu ni kutumia nuclear reactions zenye nishati kubwa sana kiasi gharama za kuitengeneza hiyo dhahabu zitaizidi thamani ya dhahabu itakayotengenezwa. Hivyo hiyo itakuwa biashara kichaa. Dhahabu tuliyonayo ilitengenezwa katika nuclear reactions katika nyota mbalimbali ambazo ziliishia katika kupasuka kwenye supernovae.

Tabia hizi mbili za dhahabu za kuto react na vitu vingine (ukilinganisha na kitu kama chuma kinacho oxidize na kupata kutu), pamoja na kutoweza kutengenezeka kwenye lab, pamoja na thamani ya kihistoria kama "store of value" (kihistoria fedha zilihesabiwa kwa dhahabu na chumi nyingi za dunia zilitumia "the gold standard" mpaka karne iliyopita.

Kuna mengi mengine ambayo yanahusika, lakini kwa uchache kabisa hayo ni ya muhimu.
Sasa hivi wanazitumia kwa kazi gani? Mbona takwimu zinaonyesha dhahabu inanunuliwa ili kutunzwa zaidi na si kwa ajili ya matumizi.
 
Hapo umeeleweka kuhusu dhahabu

Dhahabu ina thamani ya kihistoria na imekuwa juu kwa sababu, kwa miaka mingi sana imetumika kama "store of value" na watu wamejaribu kuitengeneneza kwenye lab wakashindwa. Hivyo pure gold ina a measure of authenticity. You just can't fake it, as in create it in a lab.

Ukisoma historia ya Chemistry, enzi za Alchemy, watu walijaribu kila njia kutengeneza dhahabu wakashindwa.

Na hii inatokana nabsababu kubwa mbili. Kwanza, dhahabu hai react na vitu vingine. Pili, namna pekee ya kuitengeneza dhahabu ni kutumia nuclear reactions zenye nishati kubwa sana kiasi gharama za kuitengeneza hiyo dhahabu zitaizidi thamani ya dhahabu itakayotengenezwa. Hivyo hiyo itakuwa biashara kichaa. Dhahabu tuliyonayo ilitengenezwa katika nuclear reactions katika nyota mbalimbali ambazo ziliishia katika kupasuka kwenye supernovae.

Tabia hizi mbili za dhahabu za kuto react na vitu vingine (ukilinganisha na kitu kama chuma kinacho oxidize na kupata kutu), pamoja na kutoweza kutengenezeka kwenye lab, pamoja na thamani ya kihistoria kama "store of value" (kihistoria fedha zilihesabiwa kwa dhahabu na chumi nyingi za dunia zilitumia "the gold standard" mpaka karne iliyopita.

Kuna mengi mengine ambayo yanahusika, lakini kwa uchache kabisa hayo ni ya muhimu.
 
Hivi, kazi ya dhahabu ni gani
🤣 🤣 🤣 You're very right. Why do the countries keep gold. To protect their currencies purchasing power in the event of inflation.

Gold is also used to make jewelry ornaments. I think that can do.
 
Sasa hivi wanazitumia kwa kazi gani? Mbona takwimu zinaonyesha dhahabu inanunuliwa ili kutunzwa zaidi na si kwa ajili ya matumizi.
mkuu kwa kiswahili chepesi ni kwamba. haitazamiwi dhahabu kushuka thamani hata kidogo, maana matumizi ni makubwa kuliko upatikanaji wake, ndio sababu watu hawasiti kuihifadhi kuliko kuitumia.

matumizi yake ni.

1,urembo
2,utengenezaji wa nyenzo za kielectronic, kama vifaa vya simu na computer.

almas

1,urembo
2,mashine na mitambo ya kukatia vitu vigumu, kama chuma na miamba nk.

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
 
Asilimia kubwa ya Dhahabu yote hiyo inatoka Afrika na hakuna nchi hata moja ya Afrika kwenye orodha
Kuna tofauti kati ya nchi kuwa na akiba ya dhahabu na nchi kuwa na dhahabu.

Inawezekana nchi ikawa na dhahabu sana- kama Tanzania, Mali na Afrika Kusini- kwa maana ya kuwa na dhahabu ardhini na kuchimba zaidi dhahabu, lakini ikawa haina akiba ya dhahabu kwenye benki kuu yake, kwa sababu inauza dhahabu yake.
 
Sasa hivi wanazitumia kwa kazi gani? Mbona takwimu zinaonyesha dhahabu inanunuliwa ili kutunzwa zaidi na si kwa ajili ya matumizi.
Kwa kiasi kikubwa ni store of value na jewelry. Pia inatumika katika electronics.

Gold kuto react na elements nyingine kunaifanya iwe nzuri zaidi ya silver na copper katika electronics.

Pia, hata bacteria hawareact na gold, hivyo kuifanya itumike hata kwenye dental implant.
 
Back
Top Bottom