Siempre Hechos
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 1,231
- 1,537
Hivi, kazi ya dhahabu ni gani
Mkuu kama mimi ambavyo huwa najiuliza madawa ya kulevya kuwa na thamani kubwa kiasi kile!
Hivi, kazi ya dhahabu ni gani
Hivi, kazi ya dhahabu ni gani
Sasa Afrika tungekuwa tuna hifadhi dhahabu si ingetusaidia sana hasa ukizingatia currency za Afrika hazipo stable..Dhahabu ni sarafu ya yakihistoria ambayo inakubaliwa popote ulimwenguni bila dhamana ya mtu mwingine. Kwa mfano, dola za Marekani lazima zidhaminiwe na serikali ya Marekani kuwa na thamani ya gharama wakati dhahabu ni ya kinadharia daima yenye thamani ya kitu mahali popote, wakati wowote.
Benki kuu katika nchi na mashirika ya kifedha duniani zinashikilia akiba za dhahabu kama sera ya bima dhidi ya mfumuko wa bei au janga zingine kali za kiuchumi. Dhahabu ni bidhaa inayofuatwa zaidi na kuuzwa Duniani, ambayo inafanya kuwako na soko la pesa kavu ikiwa hatua zinahitajika kusaidia sarafu kubwa. Kwa mfano, kama dola ya Marekani ingepungua sana kwa thamani inayohusiana na sarafu zingine, serikali inaweza kuuza dhahabu kununua dola na kusaidia thamani yake.
Hivi, kazi ya dhahabu ni gani
Hivi, kazi ya dhahabu ni gani
Sasa tutunze wakati hata kazi yake hatujui si bora tuuze tu tufanye mambo mengine[emoji3][emoji3].Pamoja na kwamba Afrika ndiyo bara linaloongoza katika uzalishaji wa dhahabu lakini ndiyo nchi zenye reserve ndogo zaidi ya dhahabu, HOPELESS PEOPLE!!...
Sasa tutunze wakati hata kazi yake hatujui si bora tuuze tu tufanye mambo mengine[emoji3][emoji3].
Safi sanaDhahabu ina thamani ya kihistoria na imekuwa juu kwa sababu, kwa miaka mingi sana imetumika kama "store of value" na watu wamejaribu kuitengeneneza kwenye lab wakashindwa. Hivyo pure gold ina a measure of authenticity. You just can't fake it, as in create it in a lab.
Ukisoma historia ya Chemistry, enzi za Alchemy, watu walijaribu kila njia kutengeneza dhahabu wakashindwa.
Na hii inatokana nabsababu kubwa mbili. Kwanza, dhahabu hai react na vitu vingine. Pili, namna pekee ya kuitengeneza dhahabu ni kutumia nuclear reactions zenye nishati kubwa sana kiasi gharama za kuitengeneza hiyo dhahabu zitaizidi thamani ya dhahabu itakayotengenezwa. Hivyo hiyo itakuwa biashara kichaa. Dhahabu tuliyonayo ilitengenezwa katika nuclear reactions katika nyota mbalimbali ambazo ziliishia katika kupasuka kwenye supernovae.
Tabia hizi mbili za dhahabu za kuto react na vitu vingine (ukilinganisha na kitu kama chuma kinacho oxidize na kupata kutu), pamoja na kutoweza kutengenezeka kwenye lab, pamoja na thamani ya kihistoria kama "store of value" (kihistoria fedha zilihesabiwa kwa dhahabu na chumi nyingi za dunia zilitumia "the gold standard" mpaka karne iliyopita.
Kuna mengi mengine ambayo yanahusika, lakini kwa uchache kabisa hayo ni ya muhimu.
Dhahabu siyo maji,Kuna siku zitaisha zote vizazi vya mbeleni vitatushangaa sana.Sasa tutunze wakati hata kazi yake hatujui si bora tuuze tu tufanye mambo mengine[emoji3][emoji3].
Wao wanatusaidia kupigania democracy na kutusambazia silaha ili tuasi nchi zetu (silaha zenyewe ni outdated technology) kisha sisi tunawaachia migodi wanachimba dhahabu ndio maana wanazo nyingi kuliko sisi mkuu.Asilimia kadhaa ya Dhahabu hiyo inatoka Afrika na hakuna nchi hata moja ya Afrika kwenye orodha
Shida kubwa ni sisi na si wao. Akili ndio zimetupungukia kwa hizi mali tungetakiwa kutawala duniaWao wanatusaidia kupigania democracy na kutusambazia silaha ili tuasi nchi zetu (silaha zenyewe ni outdated technology) kisha sisi tunawaachia migodi wanachimba dhahabu ndio maana wanazo nyingi kuliko sisi mkuu.
Mimi nasema shida ni wao sio sisi, kwasababu wao ndio chanzo Cha machafuko kwenye kila nchi yenye rasilimali wanayoitaka Africa pindi anapotokea kiongozi mzuri wa kuwapinga tu basi tegemea taifa hilo litaingia kwenye machafuko makubwa kisha mali zote kukombwa.Shida kubwa ni sisi na si wao. Akili ndio zimetupungukia kwa hizi mali tungetakiwa kutawala dunia