Nchi zenye Dhahabu nyingi zaidi duniani

Nchi zenye Dhahabu nyingi zaidi duniani

Mimi nasema shida ni wao sio sisi, kwasababu wao ndio chanzo Cha machafuko kwenye kila nchi yenye rasilimali wanayoitaka Africa pindi anapotokea kiongozi mzuri wa kuwapinga tu basi tegemea taifa hilo litaingia kwenye machafuko makubwa kisha mali zote kukombwa.

Mfano Mzuri ni hapo tu Congo walipoona Lumumba hadanganyiki haraka sana wakamuua Kisha kuweka puppet wao Mobutu na vikundi vya waasi kibao huku wao wanajizolea madini yote.
Yaani Africa akipatikana tu kiongozi mzuri wa kusimamia masilahi ya waafrica basi lazima tu atapata msuko suko mkubwa wa kutengenezwa kwa makusudi kabisa.
Waafrika ni wajinga tu wenyewe.

Wakati wa biashara za utumwa, kuna waafrika waliwakamata na kuwauza waafrika wenzao kwa wanunuzi wa watumwa.

Kuna mikataba ya rasilimali muhimu ina uwalakini, ila inasainiwa waziwazi na kila mtu akiwa ana hoji.

Tanzania ina rasilimali zote muhimu, leo hii mtu akikuuliza gesi inamsaidiaje mtanzania utatoa jibu gani?

Ila ukimuuliza mzungu atakwambia anafaidika vipi na rasilimali za nchi yake.
 
hata hii Lebanon ambayo ina uchumi mbovu kiasi kwamba utoaji wa fedha atm ulikuwa restricted kwa week kiasi fulani? alafu sisi tanzania atupo na niwazalishaji wakubwa tu africa kwa gold
Lebanon ni moja ya sehemu duniani imeshamiri biashara ya dhahabu.

Kule hadi machinga anauza dhahabu. Soko kubwa lipo kule.
 
Nchi zilizo na akiba mingi ya dhahabu

1 United States - 8,133.46 T
2 Germany - 3,363.60 T
3 IMF -. 2,814.04 T
4 Italy - 2,451.84 T
5 France -. 2,436.01 T
6 Russian Federation - 2,299.87 T
7 China - 1,948.31 T
8 Switzerland - 1,040.00 T
9 Japan -. 765.22 T
10 India - 657.67 T
11 Netherlands - 612.45 T
12 Turkey - 583.00 T
13 ECB. - 504.77 T
14 Taiwan - 422.69 T
15 Portugal - 382.54 T
16 Kazakhstan - 378.48 T
17 Uzbekistan - 342.76 T
18 Saudi Arabia - 323.07 T
19 United Kingdom - 310.29 T
20 Lebanon - 286.83 T

View attachment 1541700
Hizi data ni za lini?
Tanzania sisi stock yetu ni mpya, japo naamini pia kuwa hatuwezi kuwa wa kwanza kwenye orodha hii, lakini kuna uwezekano kuna baadhi ya nchi ulizozitaja hapa ambazo tunazizidi!
 
- Uko sahihi, except hapo ulipoandika dhahabu haireact na vitu vingine.

- Dhahabu inareact na halogens na kutengeneza complex compounds. Hydrothermal gold deposits zinatengenezwa baada ya dhahabu kuprecipitate from solution.
Ahsante kwa ku pount out this technical nitty gritty.

Nimeandika katika muktadha wa vitu vya matumizi ya kila siku. Nimeweka context kwa kusema ukilinganisha na kitu kama chuma kinavyo react na maji ku react kupata kutu through oxidation even at room temperature. Dhahabu haifanyi oxidation na maji. So it is in that context.

Of course ukiisoma sana katika kemia dhahabu utakuta kuna vitu ina react navyo slowly at room temp, lakini katika matumizi ya kila siku, au katika muktadha wa kuitengeneza dhahabu kutoka vitu vingine that is rather negligible and inapplicable.
 
Mala zote ukiwauliza watu hua wana blaa blaa mingi sana kuhusu kazi ya dhahabu au almasi, mala ooh inatengenezea siraha, mala ooh kwenye ndege kuna madini wanayotumia, watu hawa wote hua hawana uhakika na kinachojulikana kazi kubwa ya dhahabu ni vidani tu vya kuvaa vaa hivi ambavyo siamini kama vinaweza kurudisha gharama ya uchimbaji ambayo hua ni kubwa nasa,

Yamkini kuna siri zao zilizo jificha au ni kitu tu cha thamani kinachokaa kwenye mabenki na ghala za kuhifadhi thamani ya muhusika anazo miliki, labda

Jifunze kiswahili
 
unawaza kusoma tu, hujamaliza bado??? wengine tuliishamaliza tunafanya mambo mengine[emoji116][emoji116][emoji116]

unajua hii michirizi ya njano ni kitu gani au unadhani ni rangi rangi tu zimepakwa kwa brush ya rangi ya kucha. View attachment 1542613

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app

na kama una bundle jifunzie hapo

Hiyo michirizi ni brass tu bwana sio dhahabu.
 
Kuna tofauti kati ya nchi kuwa na akiba ya dhahabu na nchi kuwa na dhahabu.

Inawezekana nchi ikawa na dhahabu sana- kama Tanzania, Mali na Afrika Kusini- kwa maana ya kuwa na dhahabu ardhini na kuchimba zaidi dhahabu, lakini ikawa haina akiba ya dhahabu kwenye benki kuu yake, kwa sababu inauza dhahabu yake.
Hii sawa na mkulima akivuna mazao huuza yote

Sent from my itel S11 using JamiiForums mobile app
 
Ahsante kwa ku pount out this technical nitty gritty.

Nimeandika katika muktadha wa vitu vya matumizi ya kila siku. Nimeweka context kwa kusema ukilinganisha na kitu kama chuma kinavyo react na maji ku react kupata kutu through oxidation even at room temperature. Dhahabu haifanyi oxidation na maji. So it is in that context.

Of course ukiisoma sana katika kemia dhahabu utakuta kuna vitu ina react navyo slowly at room temp, lakini katika matumizi ya kila siku, au katika muktadha wa kuitengeneza dhahabu kutoka vitu vingine that is rather negligible and inapplicable.
- Niliona umeneglect ndio maana nikakurekebisha for the sake of chemistry students wanaopita humu.

- Pia huwezi neglect hizo reactions maana ndizo zinaelezea how gold deposits are formed.
 
Sija neglect, nimeongelea na context.Kila kitu kinaenda kwa context. Ukitaka kuwa pedant, hata hiyo gold yenyewe kuiongelea katika real world utashindwa, maana itakuwa na impurities tu at a certain level. Sasa hapo ndipo muktadha unapokuja.Unapofundisha Ph.D ya chemistry caveats zote zinawekwa.Unapoongelea muktadha wa matumizi ya kila siku uki focus kwenye negligible impurities unaweza kushindwa kueleza real characteristics za gold.

Kwa sababu naweza kukubishia na kukuambia gold ni theory tu, hakuna gold pure, kwa sababu gold yoyote, unless una assemble atom by atom na unailinda kila atom isireact na kitu kingine chochote, haiwezi kuwa pure, itakuwa na trace amount za vitu vingine.

So, as long as nimeweka muktadha kwamba dhahabu haireact na vitu vingine kirahisi kama chuma kinavyo oxidize na maji kutengeneza kutu, sioni tatizo. Tatizo lingekuwapo kama kungekuwa hakuna muktadha.

Ukitaka absolutism tutashindwa kuandika kitu hapa, maana hata hii lugha yenyewe tunayoitumia haipo precise.Ukimsoma Chomsky utaona hilo. Ukimsoma Godel utaona hata logic na mathematics, misingi ya Chemistry, zina mipaka yake. Na ukitaka kuleta ligi ya precision, hata hiyo Gold yenyewe at a certain point utaamua kuipitisha tu kwa muktadha kwamba kukiwa na trace amounts za impurity za a certain level, hizo trace amounts, kwa muktadha wa gold ya hereni na mkufu, ni negligible.

Ukikataa kuangalia vitu kwa muktadha unaweza kushindwa kujenga daraja kwa sababu thamani halisi ya pi ni irrational, wakati kiukweli hauhitaji kuijua zaidi ya 4 decimal places kujenga daraja.

I was not giving a Chemistry lesson,I was talking about everyday use context with an example of rusting from an everyday usage of iron to keep my statement in the right perspective.

Those reactions with halogens by example do not create gold , they merely transform existing gold that was created in stars by nuclear forces.

Alchemists have tried to create gold for thousands of years, unsuccessfully. They did not know why.

The reason is, the energy level required to create gold from something else is simply too big, it is a nuclear reaction level of energy that would make the entire business of creating gold worthless, because the process to create gold would be more expensive than the gold itself.
 
- At this point hata sielewi ni kipi tunacho endelea kujadili hapa[emoji28][emoji28]. Nilicho kifanya ni kuongezea facts katika kile ulicho kieleza.

- You said those facts were purposely neglected because they are inapplicable, then nikaelezea namna ambayo hizo facts ni muhimu unapoelezea chemistry ya gold. Sasa ulicho kiandika hapo sidhani kama kinapingana na facts nilizozitoa in any way.

- Ni kweli kwamba dhahabu haitengenezwi, lakini dhahabu iliyopo tayari ardhini huwa inasafirishwa ( baada ya hizo reactions kufanyika) na kuwa deposited sehemu nyingine na kutengeneza secondary gold deposits. Na hizo ndizo deposits nilizoziongelea mimi.

- Nilicho kifanya ni kuongezea maarifa ambayo uliacha kuyaelezea, kama unahisi nlicho kiandika si kweli unachotakiwa ni kuprove kuwa si kweli, otherwise unachoendelea kuandika hakileti maana yeyote.
 
Naona habari nzima ya muktadha umeiruka.Na hii ndiyo point yangu kubwa kabisa.

Na mimi nimeongezea maarifa kwamba Gold deposits/ reservers ni theory tu, kiukweli haipo, maana iliyopo yote at a certain point utapata trace impurities.

To borrow your own pedantic style. Mbona hujajibu hilo?

Tunapojadili mambo, tujadili kwa muktadha. Otherwise, mjadala utakwama.

Mimi naweza kukueleza kwamba it is a fact kwamba sasa hivi ni mchana.

Wewe ukabisha, ukasema it is a fact kwamba sasa hivi ni usiku.

Tukabishana kama sasa hivi ni mchana au usiku.

Bila kuangalia muktadha kwamba mchana au usiku sehemu gani? Maana kuna sehemu sasa hivi ni mchana, na kuna sehemu sasa hivi ni usiku.Dunia hii hii moja.

Sasa hapa unachofanya ni kuweka context yako tofauti kwenye habari yangu.

Just because where you are it is night, it does not mean where I am it must also be night.
One must look at context and perspective.Ndiyo maana nilipoandika nimeandika na right context sikusema kwamba nafundisha absolute Chemistry, nimeandika kwa context ya everyday life process nikatoa na mfano wa iron rusting.

Just because Einstein's Relativity improves on Newtonian classical physics, that does not mean that Newtonian classical physics is wrong.In fact, for everyday life speeds, Einsteinian Relativity is a waste of precision, Newtonian physics suffices.Context is king.

Facts are framed within context.There are no absolute facts for anything that exists in time and space.

Because, even time and space themselves are relative, not absolute, they depend on the frame of reference.

Einstein taught us that more than 100 years ago.

Eddington confirmed that in 1919.

And ever since then, no one has disproved Einstein's Relativity.
 
- I didn't know that paying attention to details is a sin, and that some facts are worth neglected... ndio najua kwako leo[emoji28][emoji28]

- Umenena kweli kwamba kila ukweli ni uongo katika muda na mitazamo tofauti. Newton alikuwa sahihi kwa muda wake until he was proven otherwise by Einstein. Kwa Einstein pia ts only the matter of time watamprove wrong.
 
Hujaelewa somo nililoeleza bado, ndiyo maana unaweza kusema Newton alikuwa sahihi kwa muda wake.

Newton yuko sahihi mpaka leo, kwa muktadha wa precision yake.

Ndiyo maana mpaka leo watu wana launch rockets kwa Newtonian physics, hawahitaji Einsteinian relativity kwa physics yoyote ambayo haikaribii relativistic speeds.

Kwa style yako, utashindwa kujenga daraja kwa sababu pi ni irrational number na katika hesabu za decimal hai terminate.

Wakati huhitaji kuijua pi yote ili ujenge daraja, unahitaji at most four decimal places.

Ukitaka kuwa pedant hata hiyo gold itakuwa kwenye theory tu.
 
Mala zote ukiwauliza watu hua wana blaa blaa mingi sana kuhusu kazi ya dhahabu au almasi, mala ooh inatengenezea siraha, mala ooh kwenye ndege kuna madini wanayotumia, watu hawa wote hua hawana uhakika na kinachojulikana kazi kubwa ya dhahabu ni vidani tu vya kuvaa vaa hivi ambavyo siamini kama vinaweza kurudisha gharama ya uchimbaji ambayo hua ni kubwa nasa,

Yamkini kuna siri zao zilizo jificha au ni kitu tu cha thamani kinachokaa kwenye mabenki na ghala za kuhifadhi thamani ya muhusika anazo miliki, labda
Sina uhakika lakini nafikiri. Ni kama mbadala wa fedha. 😀😀Sijui niliwekeje lakini ni hivyo. Ni kama ilivyi pesa. Ukiwa na dhahabu = pesa. Unaweza badilishana na chochote.
Ila wataalamu waje wanisahihishe zaidi.
 
Hujaelewa somo nililoeleza bado, ndiyo maana unaweza kusema Newton alikuwa sahihi kwa muda wake.

Newton yuko sahihi mpaka leo, kwa muktadha wa precision yake.

Ndiyo maana mpaka leo watu wana launch rockets kwa Newtonian physics, hawahitaji Einsteinian relativity kwa physics yoyote ambayo haikaribii relativistic speeds.

Kwa style yako, utashindwa kujenga daraja kwa sababu pi ni irrational number na katika hesabu za decimal hai terminate.

Wakati huhitaji kuijua pi yote ili ujenge daraja, unahitaji at most four decimal places.

Ukitaka kuwa pedant hata hiyo gold itakuwa kwenye theory tu.
- Uliandika kwamba gold inatumika kutengeneza electronic devices, sasa unafikiri percentage purity ya hiyo dhahabu inayotumika sio muhimu kama unavyosema?

- Unajua kwamba resistance ya pure gold sio sawa na resistance ya impure gold? huoni kwamba kuneglect details ndogo kama hizo unaweza tengeneza device yenye defect?
 
Back
Top Bottom