Kiongozi, hata sifahamu ninajichanganya wapi!
labda nisaidie kwa nini Tanzania,Kenya,Uganda, Somalia, Zanzibar zipo Afrika Mashariki?
wakati Msumbiji,Malawi,Zambia,DRC,Burundi,Rwanda,CAR,Sudan (N&S),Ethiopia zipo Central Africa?
Au kwa nini kuna nchi za Afrika Magharibi? Au nchi za Far east? au Central Asia?
Ama angalia kuna nchi za Central Amerika, Southern Amerika na Northern Amerika?
Hivyo nadhani kuna a centre point ambayo ina-determine kwa nini hapa ni kaskazini ama kusini? ila kwa mfano wa hapahapa kwetu Tz - why wanasema Dodoma ni katikati ya nchi (Tanzania)? what are the reference point? au unasikia watu wanasema mikoa ya kusini - hivi ni wapi huko kusini, kwa Jacob Zuma?
Kwa maelezo na maswali hayo hapo juu nina amini kuwa kuna Ulaya Mashariki na Ulaya Magharibi (kijiografia), na kwa upande wa kimkakati nakubaliana na wewe kuwa hizi nchi za Ulaya Magharibi chimbuko lao ni wakati wa vita II ya dunia - wakati USSR ikikua kiuchumi na sera za ukomunisti ikiwa na nchi za Ulaya Mashariki, kwa upande wa pili nchi za Ulaya Magharibi (kijiografia na kimkakati)ziliibuka katika block ya kiuchumi,kisiasa, nk ambazo (Ulaya Magharibi) ndizo zimekuja na umoja wa ulaya "European Union" na Nato (ulinzi)ya sasa kwa mfumo wa kibepari.
Suala la mkakati hili halijalishi unaishi wapi kijiografia - ndio maana Marekani ni mwanachama wa NATO ili hali hayupo Ulaya Magharibi ama Mashariki (wakati hata baadhi ya nchi ambazo zipo Ulaya Mashariki kijiografia pia ni wanachama), pia ukiangalia Jumuiya yetu ya Afrika Mashariki - kuna Burundi na Rwanda ambazo zipo Afrika ya Kati.
Kwa hio bado naamini kabisa sijajichanganya, na wala sipendi uchanganyikiwe isipokuwa ni uelewa tu, ila kwa reference zaidi jaribu kupitia hizi link:
https://www.google.co.tz/search?q=w...&ei=kZgdU4ecJcWKhQeLoYHIBg&sqi=2&ved=0CDUQsAQ
What are the countries of Western Europe? - Yahoo Answers
What Countries Make up Western Europe - Ask.com
http://www.nato.int/cps/en/natolive/nato_countries.htm

Kaka nimekupata, lakini nadhani unajichanganya kidogo
sehemu yoyote ya Dunia utakayosimama lazima itakuwa na East, West, Sud na Nord, sasa kwa hizo nchi ulizozicategorize kama za East na West hapo kwenye bandiko lako juu, zingine zinaonekana kabisa zipo tofauti kigeographia kama unavyosema, mfano hebu linganisha Poland au Czhecslovacia na nchi kama Sweden ama Finland
kwenye Bandiko lako unaziweka Poland na Czech kama ziko East Kigeographia na Sweden na Finland kama West Kigeographia wakati sio kweli, Poland na Czech ziko Magahribi ya Sweden na Finland, kwa maana Nyingine Sweden na Finland ziko East zaidi ya Poland na Czech
Hivyo East Europa na West Europa pamoja na kuangalia Geopgraphy kwa uchache wake, kigezo kikubwa kilikuwa ni political wings, Capitalist West na Socialist/Communist East