Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,163
- 22,739
Huu ndo wito wangu kwa nchi za Kiarabu. Watusaidie sisi waumini wao na ndugu zao kutujengea Misikiti Mikubwa kila Wilaya na Tarafa.
Pia watujengee na Madrasa nyingi za kutosha tuwafundishe watoto kushika Dini yao. Kila baada ya angalau kilometre 2 kuwe na Msikiti na Madrasa. Hii itasaidia sana kueneza Dini yetu.
Kama hawatajali pia wakati wa Ramadhani washirikiane na Serikali jamani tupate tende bure au kwa kuchangia kidogo. Tende ni nzuri jamani huwa zinatusaidia sana hasa wakati wa mfungo. Na maziwa ya Ngamia. Wallah hapo itakuwa Sunna nzuri kwetu na ibada pia.
Saidieni nanyi mtabarkiwa sana sisi mahitaji yetu makubwa ni hayo tu. Tende, Misikiti, Madrasa,maziwa ya ngamia na kama hamtajali na kanzu zenu huwa ni quality sana na vilemba. Hivyo msiache kutusogezea na makobazi. Allah atawabarikia sana.