Nchi za Afrika zinazoongozwa vizuri

Nchi za Afrika zinazoongozwa vizuri

Weka data kuhusu uhuru wa mahakama za SA na Bongo, halafu tuone.
Data za nini mimi ni mtanzania niliyeishi SA zaidi ya miaka 10 na nina watoto huko. Data nilizonazo sio za kusoma mitandaoni na kuleta links hapa, mimi mwenyewe ni data tosha. SA unayoiongelea ni ya kipindi Cha makaburu kabla ya 1994 Mandela kuwa Raisi. Wazungu waliweza kudhibiti nchi shida yao ilikuwa ubaguzi wa rangi tu. Baada ya ANC kuchukua nchi, ni vurugu mechi. Naweza kutoa maelezo hata kurasa 15 hakuna kitu utaniambia kuhusu SA, muulize mtu yeyote aliyekaa SA hata miezi 6 tu, kama uongozi wa SA ni mzuri kuliko Tanzania atakushangaa sana. Kule kila kitu kinajiendea tu Ili mradi. Raia wanaweza kuamka siku hiyo hawataki raia wa nchi nyingine mtaani kwao, wakawakimbiza kuwaibia vitu na mali na gari za Polisi zinapita zinawaangalia kwa mbali tu. Halafu unaniambia South Africa Ina uongozi bora kuliko TZ!??,.. achana na data za Wikipedia na mtandaoni muulize mtu aliyepo huko akuelezee ndo utaelewa.
 
Ukiambiwa south kipesa wametuzidi ila amani hawajatuzidi, wala hawajatoka kwenye umaskini chama chao kikuu hawajawatoa kwenye umaskini nafuu tz kweli naakuapia
Tunaongelea good governance, na attributes zake zinajulikana. Kwenye good governance wametuzidi mbali sana, ndiyo maana unaona mpaka Rais anashtakiwa mahakamani akifanya makosa.
 
Tanzania inaendeshwa vizuri kuliko South Africa...

Burkina Faso utalinganisha na Tanzania?

Kwamba Seychelles inaendeshwa vibaya kulinganisha na Burkina Faso na South Africa?

Another on-line trash list
Not trash list it's the reality.our is rotten everywhere
 
Weka data kuhusu uhuru wa mahakama za SA na Bongo, halafu tuone.
Mahakama gani zilizo huru mtu akiwa na ela anakupiga bastola mchana kweupe na anaendelea kudunda mtaani!?,unajua kesi ya robbery SA ni kubwa na ngumu kuliko kuua!?,unajua ukiua SA unapewa dhamana unaendelea kujitetea ukiwa nje ya mahakama na kama una lawyer mzuri mzungu unashinda kesi!??,hiyo nchi iangalie kwa mbali tu, kesi za kisiasa tu na wanasiasa ndo huwa wanazuga kufata sheria na zenyewe mwenye ela lazima apindishe sheria tu. SA ilikuwa zamani sio kipindi hiki cha ANC na majambazi madarakani.
 
Tunaongelea good governance, na attributes zake zinajulikana. Kwenye good governance wametuzidi mbali sana, ndiyo maana unaona mpaka Rais anashtakiwa mahakamani akifanya makosa.
Kumbe umeshupaza shingo sababu raisi anaweza kushtakiwa!?!?.., Raisi akiweza kushtakiwa huku raia kibao wameuawa bila hatia na haki kutendeka, corruption serikalini kila sehemu inasaidia nini!?, ulisikia skendo ya ESKOM (TANESCO yao) hadi kukawa na mgao wa umeme usio isha kisa corruption!?.. Hakuna good governance yoyote South Africa ni danganya toto tu. Hizo data zako ni FAKE Mzee acha kukomaa.
 
Tunajadiliana na baadhi ya watu ambao ni watupu kabisa vichwani!

Tanzania kwenye transparency ina zero score kwa sababu Serikali ya Tanzania, yenyewe ilijiondoa kwenye orodha ya nchi zenye serikali zinazozingatia transparency. Wewe unakuja na mambo ya uchaguzi. Report imeongelea uchaguzi?
Miaka mitatu ishapita!

Hiyo ripoti imetaja Awamu yeyote ile?

Imemtaja Magufuli?, CCM?
 
Tunajadiliana na baadhi ya watu ambao ni watupu kabisa vichwani!

Tanzania kwenye transparency ina zero score kwa sababu Serikali ya Tanzania, yenyewe ilijiondoa kwenye orodha ya nchi zenye serikali zinazozingatia transparency. Wewe unakuja na mambo ya uchaguzi. Report imeongelea uchaguzi?
hoja za kukurupuka kwa data za kubuni zinazo akisi uwezo duni sana wa mambo ya Africa...

kwamba mtu moja na wachache wenzie, kujipa umuhimu zaid ya wengi, kwa mambo ya kulazomisha vitu kadiri walivyo potoshwa na walio watuma...

ni useless kabisa...
 
CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:

Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:

Rank Country. Rank. Score:

1 Mauritius B. 69.3
2 Namibia B. 69.1
3 South Africa B. 65.5
4 Botswana B. 65.1
5 Ghana B. 61.7
6 Senegal C. 53.6
7 Malawi C. 52.9
8 Lesotho C. 52.3
9 Burkina Faso C. 51.8
10 Gambia C. 50.6

Mnaochangia msiropoke, zingatieni vigezo vilivyozingatiwa:

The cornerstone of effective governance globally lies in embracing principles such as transparency, accountability, inclusivity, and adherence to the rule of law.

Kwa vigezo hivyo, ndiyo unaweza kuelewa kwa nini Tanzania ambayo hata mahakama zake hazipo huru, haiwezi kuwa miongoni mwa nchi zinaxoongozwa vyema. Kukosekana kwa uhuru wa mahakama kwa Tanzania, ni jambo dhahiri, ndiyo maana hakuna mwekezaji yeyote mkubwa ambaye yupo Tanzania aliwahi kukubali mgogoro wowote baina yake na Serikali utatuliwe na mahakama za Tanzania.
Ukitoa namba 1,2 na 4 zilizosalia ni Nchi za kishenzi na Zenye Hali mbaya sana ya maisha
 
Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.
Ghana si wale hata mwaka hawajamaliza,toka litokee sakata la uchumi,kwamba wamekopa kupitiliza mpaka uchumi unabembea kwenye kamba???
 
CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:

Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:

Rank Country. Rank. Score:

1 Mauritius B. 69.3
2 Namibia B. 69.1
3 South Africa B. 65.5
4 Botswana B. 65.1
5 Ghana B. 61.7
6 Senegal C. 53.6
7 Malawi C. 52.9
8 Lesotho C. 52.3
9 Burkina Faso C. 51.8
10 Gambia C. 50.6

Mnaochangia msiropoke, zingatieni vigezo vilivyozingatiwa:

The cornerstone of effective governance globally lies in embracing principles such as transparency, accountability, inclusivity, and adherence to the rule of law.

Kwa vigezo hivyo, ndiyo unaweza kuelewa kwa nini Tanzania ambayo hata mahakama zake hazipo huru, haiwezi kuwa miongoni mwa nchi zinaxoongozwa vyema. Kukosekana kwa uhuru wa mahakama kwa Tanzania, ni jambo dhahiri, ndiyo maana hakuna mwekezaji yeyote mkubwa ambaye yupo Tanzania aliwahi kukubali mgogoro wowote baina yake na Serikali utatuliwe na mahakama za Tanzania.
Aibu tupu
 
Tunaongelea good governance, na attributes zake zinajulikana. Kwenye good governance wametuzidi mbali sana, ndiyo maana unaona mpaka Rais anashtakiwa mahakamani akifanya makosa.
Lakini asilimia kubwa ni maskini rural areas ni mbaya sana hali yakimaisha hawana vyoo , mahali pakulala , chakula ni mbaya
 
Tanzania inaendeshwa vizuri kuliko South Africa...

Burkina Faso utalinganisha na Tanzania?

Kwamba Seychelles inaendeshwa vibaya kulinganisha na Burkina Faso na South Africa?

Another on-line trash list

100%

Watafiti wa andiko hili hawakuandika matokeo ya tafiti zao. Wameandika maoni yao yasiyo na ushahidi
 
Mpeni mwarabu nchi aendeshe
Waarabu wakikaaa sehem mashoga huongezeka sana na ndo maana Zanzibar imeathirika sana unakutana na bonge shababi linapenda ushuzi na linagawa ushuzi hapo ndo utakoma na ole akuone unakula mchana wakati yeye anakula usiku
 
Mkiwa mnasoma vitu mahali vitafakari kwa kutumia akili zenu mkigundua ni takataka msivi copy na kuvi paste sehemu nyingine. Umewahi kuishi South Africa hata wiki moja tu!?,hiyo nchi imeoza kwenye kila nyanja. Wazungu wanaoangalia future ya vizazi vyao wanahama Kila siku, kule imebakia maendeleo ya vitu na miundo mbinu basi. Uhalifu upo juu sana, elimu imeshavurugwa. Corruption serikalini ipo kiwango cha SGR, maadili hakuna kabisa. Pamoja na madhaifu ya serikali yetu lakini huwezi kusema tumezidiwa na South Africa, Burkina Faso, Lesotho, Gambia... Never. Hapo wanaotuzidi kiuhalisia ni Botswana, Ghana na Namibia basi. Wengine hakuna lolote.
Kuongozwa vizuri ni kupoje kwanza kwa mtazamo wako tuanzie hapa.. maana ulivyovusema vya south Africa kila nchi vipi..

Embu tupo uchambuzi wako na ulinganifu wa hizi nchi 2 ulizotelea mfano
 
Tanzania inaendeshwa vizuri kuliko South Africa...

Burkina Faso utalinganisha na Tanzania?

Kwamba Seychelles inaendeshwa vibaya kulinganisha na Burkina Faso na South Africa?

Another on-line trash list
Mimi kwa SA na Burkina Faso nimemkataa. Kwingine naweza kukubali.
Dp world kesi zao zinaenda amuliwa south afrika na sio Tanzania ulishawah jiuliza Tanzania ni nchi ya hovyo sana
 
Takataka ni kama hii uliyoiweka wewe hapa. Maana ni hadithi.

Kilichowekwa ni scientific research outcome. Haiwezi kupuuzwa kwa sababu tu mtu fulani kasema matokeo fulani ya utafiti yapuuzwe.

Ulichoandika wewe ni hisia.
wewe ninachoona ulichokiweka hapa unataka mawazo ya kukisifia na kukikubali hutaki mtu wa kupinga. Hii inaikosesha maana halisi hii mada kwa upana wakoe.
 
Kuongozwa vizuri ni kupoje kwanza kwa mtazamo wako tuanzie hapa.. maana ulivyovusema vya south Africa kila nchi vipi..

Embu tupo uchambuzi wako na ulinganifu wa hizi nchi 2 ulizotelea mfano
Nchi yeyote unapima ubora au utawala bora kwa kuangalia mfumo wa haki, na upatikanaji wa viongozi na uwajibishwaki wa viongozi

sasa Tanzania angalia tu hayo maeneo ni almost poor mahakama zimeoza mahakimu wanafanya kazi kwa vimemo, viongozi wanaiba kura kama njia ya kupatika na hawawajibishwi hata wakiiba
 
wewe ninachoona ulichokiweka hapa unataka mawazo ya kukisifia na kukikubali hutaki mtu wa kupinga. Hii inaikosesha maana halisi hii mada kwa upana wakoe.
Nchi yeyote unapima ubora au utawala bora kwa kuangalia mfumo wa haki, na upatikanaji wa viongozi na uwajibishwaki wa viongozi

sasa Tanzania angalia tu hayo maeneo ni almost poor mahakama zimeoza mahakimu wanafanya kazi kwa vimemo, viongozi wanaiba kura kama njia ya kupatika na hawawajibishwi hata wakiiba
 
Huyu mpuuzi hajui kama SA kosa na kuua lina dhamana. Kuna jamaa alimpiga risasi mtanzania mmoja kwenye bar akafa, jamaa akachukuliwa na Polisi dk chache baadae. Kesho yake tunarudi kwenye Ile bar jioni tunamkuta jamaa aliyeua yupo anakunywa bia hana wasiwasi, kumbe aliachiwa kwa dhamana. Anakuja hapa mjinga mmoja anasema SA inaongozwa vizuri kuliko Tanzania. Nilichogundua wengi wanaoleta takwimu humu wame base kwenye makaratasi hawajasafiri kwenda popote.

Back
Top Bottom