Nchi za Afrika zinazoongozwa vizuri

Nchi za Afrika zinazoongozwa vizuri

Wewe ni mtupu sana. Umewekewa na link ambayo hata kama una akili ndogo ungeweza kusoma na kuelewa vigezo vilivyotumika. Hawa watafiti hawakurupuki kama unavyofanya wewe, kuropoka tu kuwa Tanzania inaongozwa vizuri kuliko South Afrika.
Nchi iliyoshindwa hata kudhibiti silaha ndo unasema ina uongozi mzuri kuliko Tanzania!?, unajua South Africa unaweza ukasimamishwa na gari ya Polisi kumbe ni wakabaji wana gari la Polisi na uniform!?.., wewe ndo mtupu ila hujui kama ni mtupu.
 
CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:


Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:

Rank Country. Rank. Score
1 Mauritius B. 69.3
2 Namibia B. 69.1
3 South Africa B. 65.5
4 Botswana B. 65.1
5 Ghana B. 61.7
6 Senegal C. 53.6
7 Malawi C. 52.9
8 Lesotho C. 52.3
9 Burkina Faso C. 51.8
10 Gambia C. 50.6

Tanzania tupo viwango vya juu zaidi ya hiyo uloweka namba moja, ndio maana Aimani imejaa tele, ulinzi na usalama wa mipaka, watu, makazi na mali zao ni wa uhakika na wa viwango vya juu mno barani Africa na dunia mzima. Uhuru, Demokrasia na maendeleo ni vya kupigiwa mfano 🐒

By the way unachekesha sana🤣
ati Burkina Faso, Gambia, Senegal, Namibia na SA wanaongozwa vizuri 🤣

au labda unazungumzia kutongozwa vizuri?🐒
 
CCM imeshindwa kabisa kuiweka nchi katika utawala mzuri. Siyo mimi ninayesema, bali data zinaongea:


Below are the 10 best governed countries in Africa according to World Economics:

Rank Country. Rank. Score
1 Mauritius B. 69.3
2 Namibia B. 69.1
3 South Africa B. 65.5
4 Botswana B. 65.1
5 Ghana B. 61.7
6 Senegal C. 53.6
7 Malawi C. 52.9
8 Lesotho C. 52.3
9 Burkina Faso C. 51.8
10 Gambia C. 50.6

Hadi Gambia na Bukinabe wameishinda Ccm?
 
Tanzania tupo viwango vya juu zaidi ya hiyo uloweka namba moja, ndio maana Aimani imejaa tele, ulinzi na usalama wa mipaka, watu, makazi na mali zao ni wa uhakika na wa viwango vya juu mno barani Africa na dunia mzima. Uhuru, Demokrasia na maendeleo ni vya kupigiwa mfano

By the way unachekesha sana
ati Burkina Faso, Gambia, Senegal, Namibia na SA wanaongozwa vizuri

au labda unazungumzia kutongozwa vizuri?

Wenye uelewa wanajadili hoja, wewe unaleta vioja!
 
Nchi iliyoshindwa hata kudhibiti silaha ndo unasema ina uongozi mzuri kuliko Tanzania!?, unajua South Africa unaweza ukasimamishwa na gari ya Polisi kumbe ni wakabaji wana gari la Polisi na uniform!?.., wewe ndo mtupu ila hujui kama ni mtupu.
nadhani anazungumzia nchi ambazo amedanganywa na marafiki zake kwamba akienda huko atapata raha sana, japo hao marafiki zake wanaotaabika mbaya sana huko waliko 🐒
 
Nchi iliyoshindwa hata kudhibiti silaha ndo unasema ina uongozi mzuri kuliko Tanzania!?, unajua South Africa unaweza ukasimamishwa na gari ya Polisi kumbe ni wakabaji wana gari la Polisi na uniform!?.., wewe ndo mtupu ila hujui kama ni mtupu.
Mimi kwa SA na Burkina Faso nimemkataa. Kwingine naweza kukubali.
 
Tanzania inaendeshwa vizuri kuliko South Africa...

Burkina Faso utalinganisha na Tanzania?

Kwamba Seychelles inaendeshwa vibaya kulinganisha na Burkina Faso na South Africa?

Another on-line trash list
Leta facts mkuu tukufaham vzr
 
kwenye hili nakuunga mkono isee south hapafai utasema ni gang za madawa ya kulevya ndio wenye nchi..
Acha uongo South Ndio Nchi inaongoza kupokea wageni wengi wenye heshima duniani na inapiga maendeleo kila kukicha.

Kuna gang africa zaidi ya hizi za East Africa?
 
kwahiyo mtoa hoja amekwama kuzitumia fursa vizuri ee 🐒
ana mtanziko wa siasa mfia vyama huyo.

fursa:mkuu ishi maisha uhalisia utaona,kuna fursa mashambani,machimboni,mitandaoni n,k..vijana wadogo kabisa wananuka makamasi wanatengeneza maisha yao,wanatengeneza pesa kwa kuzitumia fursa nyingi za bongo.
👆
fursa.
 
Wenye uelewa wanajadili hoja, wewe unaleta vioja!
nadhani kwakua uelewa na ufahamu wako dhidi ya orodha ya nchi ulizopotoshwa ati zinaongozwa vizuri ni finyu mno, ukilinganisha na hali ngumi sana wanazopitia wanainchi wa nchi ulizozotaja, yafaa urudurishe darasani kidogo 🐒

vinginevyo ni aibu kujipambanua na upotoshaji huu wa wazi namna hii🐒
 
Mimi kwa SA na Burkina Faso nimemkataa. Kwingine naweza kukubali.
Huyu mpuuzi hajui kama SA kosa na kuua lina dhamana. Kuna jamaa alimpiga risasi mtanzania mmoja kwenye bar akafa, jamaa akachukuliwa na Polisi dk chache baadae. Kesho yake tunarudi kwenye Ile bar jioni tunamkuta jamaa aliyeua yupo anakunywa bia hana wasiwasi, kumbe aliachiwa kwa dhamana. Anakuja hapa mjinga mmoja anasema SA inaongozwa vizuri kuliko Tanzania. Nilichogundua wengi wanaoleta takwimu humu wame base kwenye makaratasi hawajasafiri kwenda popote.
 
nadhani kwakua uelewa na ufahamu wako dhidi ya orodha ya nchi ulizopotoshwa ati zinaongozwa vizuri ni finyu mno, ukilinganisha na hali ngumi sana wanazopitia wanainchi wa nchi ulizozotaja, yafaa urudurishe darasani kidogo

vinginevyo ni aibu kujipambanua na upotoshaji huu wa wazi namna hii

Wewe ni mjinga kwa sababu unaropoka badala ya kutoa hoja.

Mnaochangia msiropoke, zingatieni vigezo vilivyotazamwa katika kupima good governance:

The cornerstone of effective governance globally lies in embracing principles such as transparency, accountability, inclusivity, and adherence to the rule of law.

Kwa vigezo hivyo, ndiyo unaweza kuelewa kwa nini Tanzania ambayo hata mahakama zake hazipo huru, haiwezi kuwa miongoni mwa nchi zinazoongozwa vyema. Kukosekana kwa uhuru wa mahakama kwa Tanzania, ni jambo dhahiri, ndiyo maana hakuna mwekezaji yeyote mkubwa ambaye yupo Tanzania aliwahi kukubali mgogoro wowote baina yake na Serikali utatuliwe na mahakama za Tanzania.

Hata Rostam aliwahi kueleza kuwa hakuna mwekezaji anayeweza kukubali kuwa mgogoro uamliwe na mahakama za Tanzania, mahakama ambazo wakuu wa Serikali hutoa maelekezo kwa majaji kabla ya hukumu.
 
ana mtanziko wa siasa mfia vyama huyo.

fursa:mkuu ishi maisha uhalisia utaona,kuna fursa mashambani,machimboni,mitandaoni n,k..vijana wadogo kabisa wananuka makamasi wanatengeneza maisha yao,wanatengeneza pesa kwa kuzitumia fursa nyingi za bongo.
👆
fursa.
anaonyesha tu jinsi alivyo mvivu na mlegevu hata wa ufahamu tu na uelewa wa kutosha dhidi ya mambo yanvyo endelea miongoni mwa nchi za kiafrica 🐒

Fursa kibao mijini na vijijini limeng'ang'ana tu kupotosha wavivu wenzie watamani kua wavivu kama yeye na kutamani maisha magumu nje ya Tz, akati Tz kuna kila aina ya fursa 🐒

hata hivyo mtu mzima kuishi nyumbani kwa wazazi ndio matatizo yake haya 🐒
 
Mafisadi utawajua tu
kaka kuna mashine ya kuchoronga miamba migodini inaitwa RC,kada wa CCM kamkodisha kiongozi mpiga domo wa upinzani inafanya kazi mgodi wa huyo mpiga domo wa upinzani.na mwezi uliokwisha mpiga domo aliomba msamaha wa kodi kwenye mgodi wake na akasmehewa kifisadifisadi tu.
👆
kama utakua na fikra pana utakua umeelewa hayo maelezo hapo juu.
 
Back
Top Bottom