Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,841
- 25,351
Sisi tuna amani ila faida haipo unajua hatq kampuni ya mtu inatakiwa ilete.maendeleo.sio. kwenye kampuni bali hata kwa wafanyakazi so kwa ccm bado haijatatua shida za wananchi na wala haijaleta maendeleo hata kwa wanaccm wote ni baadhi tu kutokana na viwadhifa wanazozishika

