Nchi za Afrika umakini ni mdogo ndio maana tunashindwa kupewa vibali umeme wa nyuklia

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,731
Tusichoshane ila itabidi niwachoshe.

Afrika kuna mambo mengi umakini ni mdogo ukilinganisha na wenzetu. Leo ni maishaidi linapotekea jambo la hatari unaona kabisa kama nchi ijaweza kujiandaa au kulikabili ilo jambo.

Hapa kwetu swala la umakini lina kiwango kidogo kuanzia nyanja zote japo ni mungu tu ana tusaidia.

Tunaweza kuwa na mitambo ya nyuklia ila umakini wetu unaweza kutupa hasara. kama ndege tu mita mia wameshindwa itakuwa ili mtambo ukilipuka.

Mitambo ya kuzalisha umeme wa nyuklia sio sehemu ya kufanyia siasa wala mzahaa na kama tunavopenda sifa mitambo ya kuzalisha umeme kuweka tegeta, ubungo sijui kinyerezi bwana likitokea la kutokea bila umakini hizo sehemu mtaondoka bila kutoka na chochote hata condom wala nyumba yako.

Hii imenikumbusha huko lebanon beirut mwaka 4 August 2020. Kulitokea mlipuko ambao ulisababisha vifo 218, majerui 7000 na hasara ya vitu thamani za dora usd bilioni 15 karibia watu 300,000 walipoteza makazi.

Inasemakena ni uzembe na kutokuwa na umakini kilichosababisha kulipuka kwa kemikali ili ifadhiwa ya ammoniam nitrate hapo bandarini miaka sita.

Mlipuko huo ulikuwa na uzito wa TNT 1.1 kiloton.

Mifano mingine huko ukrain lilo tokea tarehe 26, April 1986 huko Chernobyl.

Nimewaza sana yale mabehewa tuliambiwa ni ya SGR na Watanzania wakashtuka maana walituona hatupo makini.

IMG_0295.jpg
 
Back
Top Bottom